de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,622
- 24,983
- Thread starter
- #101
Sijaona nilicho andika kwenye huu uzi kinacho fanya nionekane Natafuta kukubalika.Usitafute kukubalika na watu ambao wako nyuma ya keyboards. Ina faida gani au ina maana gani huwa unapenda mambo ya kitoto namna hii ?
Nilicho andika ni malalamiko binafsi pamoja na kutoa evidence ya kile kimetokea. Ili next time mods waweze kufanyia kazi