Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Tafuta shuguli Mkuu ushauri wa bure au kama ndo hii then buni ikuingizie chochote, bahati mbaya attention hailipi humu.
Who said am looking for attention...
Na hata kama hailipi mbona you're so concerned?
 
Who said am looking for attention...
Na hata kama hailipi mbona you're so concerned?
Nkupe mfano unamona mshana jamaa ana manyuzi ya ulozi am sure kuna namna kageuza ikawa fursa kuwa dalali wa waganga 😂 kina Lucas mwashwambwa na tlatlaah nasikia wanarushiwaga vocha za 20k kufanya uenezi! kua ata mwanasaikolojia bana unaupiga mwingi for nada?
 
Thanks and working on it..
 
Kubwa la maadui, anabeli, kumbe ulikuw na jina lingine mombasa unaijiita ZITO LA MAADUI😁😁😁

🌈🌈

Tuna mafaili yako
 
Attachments

  • 1788618543814.jpg
    1788618543814.jpg
    48.2 KB · Views: 2
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
Badilisha id weka "The returning of undertaker"
 
Back
Top Bottom