Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Kuna mod mmoja ye kazi yake kufuta nyuzi tu mwingine kugonga ban yaani wana mgawanyo wa majukumu .... huyu kaa malaika wa kifo huyu malaika wa hukumu nk
Hahaha
Uko sahihi na wanapeana taarifa na kufanya maamuzi bila bugdhi..

Na ukiuliza maswali wanakifungia usiwe na uwezo wa kuchangia hoja wala kujibu chochote... Unakuwa kama mtalii tu humu
 
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
Pole sana my wife wangu
 
Tumefurahi kukuona tena mwanetu mwenye jf yake
images - 2026-09-06T185803.364.jpeg
 
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
Pole sana mkuu
JF nao madikteta tu, wao wanapenda serikali ikosolewe ila ukiwakosoa wao wanakulima ban usitumie platform zao. Halafu huwa wanajidai wanapigania demokrasia na haki za watu ila ukiwagusa wao wanakubutua.
 
Back
Top Bottom