Sleaford Mods are an English electronic punk music duo formed in 2007 in Nottingham. The band features vocalist Jason Williamson and, since 2012, musician Andrew Fearn. They are known for their abrasive, minimalist musical style and embittered explorations of austerity-era Britain, culture, and working class life, delivered in Williamson's East Midlands accent. The duo have released several albums to critical praise.
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo.
Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!.
Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo.
AHSANTE.
https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati.
Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna .
Leo mtu wa...
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA?
https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
Wakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh:
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa.
Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma...
Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema Kariakoo kuna mambo mengi…aliishia hapo…
Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa mali zinaibiwa mbali...
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.
Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka .
Nipende kusema kwamba hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.