Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Nishindwe kwa watu waliotaka kutuma pesa ya flights nihangaikie PM ya stranger

Ahhh walahi ehh confession kweli nimeyaona after 7 years
Hizi ndio tambo na mind games ambazo wengi hutumia kufariji their harmed egos.
 
I don't see any flaw in me.
flat,750x,075,f-pad,750x1000,f8f8f8.jpg
 
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
JF ipo huru sana, labda habari yako ilikinzana na Sheria za nchi, sasa huenda ikapelekea wao kupata matatizo. Labda utuandikie hapa kilichopelekea kufungiwa tukijadili kwa uwazi,
 
Wewe kijana
ni kweli kuwa mama Abdul au Mama Wanu au Mama Grace amefiwa na mumewe ?
 
Wakenya wana msemo "Jipe shughuli" inaonesha uko idle muda mwingi sana. Kama hii ndo shughuli yako cheki na ubuni namna itakuingizia kipato hapo kidogo itamake sense.
Kwanini huwa mnakuja na mawazo kama haya?
Kwa hiyo mtu akipist kila siku au kuonekana jukwaani kila muda basi yeye hana kazi?

Na ni nani aliye waaminisha hivi?
 
akitulia ni kijana safi very smart ila akipandisha ahh
Kwa kipimo gani ni smart? Mkuu usilinganishe smart na vitu vya ajabu, na kina Britannica, Malcom Lumumba, Pascal, Mohammed Said... tuwaite vp. Ana chapisho gani uliona mahala ukawa inspired?
 
JF ipo huru sana, labda habari yako ilikinzana na Sheria za nchi, sasa huenda ikapelekea wao kupata matatizo. Labda utuandikie hapa kilichopelekea kufungiwa tukijadili kwa uwazi,
Iko huru kwa manufaa yao pekee
 
Kwanini huwa mnakuja na mawazo kama haya?
Kwa hiyo mtu akipist kila siku au kuonekana jukwaani kila muda basi yeye hana kazi?

Na ni nani aliye waaminisha hivi?
Tafuta shuguli Mkuu ushauri wa bure au kama ndo hii then buni ikuingizie chochote, bahati mbaya attention hailipi humu.
 
Back
Top Bottom