Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Mzee wa kupigwa ban..
Halafu siku ile nilikushauri...
Na huu uzi usipoangalia utalambwa ban...

Uliporudi hukuwa hata na haja ya kufungua uzi wa malalamiko kwamba umepigwa ban..
Do you know what caused the ban?

Na unajua mods Wali nijibu nini kuhusu madai yangu?

Au ndo nina chat na mod mwenyewe akiwa na magamba tofauti?
 
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensors hip ya mada zina gusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
Sawa mkuu. Labda hukutoa ufafanuzi wa ufasaha kutetea uzi wako.
 
Mkuu niliwauliza mods kabisa wanifafanulie why, ila wanaishia kujikanyaga tu na kusingizia Nime vunja miiko na nimezusha kitu ambacho hakipo

Nami nikawaambia hamuuoni kuwa ni swali la msingi?

Wakaishia kunifungia pia nisiweze ku comment na kuchangia mijadala mwingine wowote.
 
Pole sana mkuu. Hata hivyo utakuwa umepata funzo kupitia kufungiwa huku.
 
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.

View attachment 3664478View attachment 3664479View attachment 3664481

Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/

Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
Wakupe nyongeza.
 
Pole sana mkuu. Hata hivyo utakuwa umepata funzo kupitia kufungiwa huku.
Funzo ni kuwa the truth hurts, na watu hawapendi kusikia ukweli... Hii ban walinionea na kunifungia nisicomment wala kuanzisha nyuzi ilinionesha kuwa uhuru unaoimbwa humu haupo
 
Back
Top Bottom