Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe ๐Ÿ™‚

Siwezi weka kwako niachie wangu wa ndani Binti wa zamani... Unajua nimesacrifice my own soul kwa ajili yake?
Una ukichaa, unaweza kusacrifice chochote kwa mtu hata humjui.
Na mimi soul yako ya kazi gani sasa? jipige pige mfukoni ulete bilioni moja, mimi na leo dada tutashirikiana kukuandikia uzi wa part 10.

Zaidi ya hapo, punguza kelele chiwawa, na ukatafute wa size yako!
 
Ndio ushangae! Hapa nmechangamsha genge tayari majinga yashajigawia minyama๐Ÿ˜‚
Ujue nimerudi nyuma kusoma comments nione ni nani ambaye comment yake iko off sijaona ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila mwenyewe unayewajua watu wako umeona. Halafu si uliaga wewe lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ