Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Unapenda sana umbea mwanakwetu.

Mbona hukunitumia sasa
View attachment 3666158

Ana matatizo ya akili, anashindwa kutofautisha ndoto anazoota na uhalisia, hakuna mwanamke anaweza kumkubali humu.

Sijui hata anaweza kuthibitisha nini, ila aje tu, nipo nimejaa tele!
😹😹😹 Nilitaka ufike nikupe hapa hapa..!!

Umbea wa jukwaani wa live kupeleka pm unakuwa haunogi..!! Pm zipelekwe pm zilizovuja ndo vitu napentraaaa..!! 😹

Aliyekuletea ana kiherehere mwambie akakazwe na mizimu ya kwao..!! 😹
 
Back
Top Bottom