Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Alooh hapa msibani kuna kuna pisi kali kali sana kama koo za kihabeshi hizi
Ila uzinzi, hebu malizeni kuzika kwanza 😂
Anyway karibu mshangazi.com wa jyfu mjomba wa mabuti alikuweka bize sana kipindi hiki
Ni humu tu, mjomba hana shoo mbovu

Ni humu tu!.GIF
 
Naweza, pia kukaa bila simu wala kuangalia whatsapp au kukaa hata bila internet kabisa.
Na napenda, naweza kwenda porini huko hata siku 3 bila network.
Aisee, safi sana!
Kuna weekend nilienda mbali kidogo, nje ya miji mikubwa, hata network haikuwa vizuri, ambako kiukweli nilitakiwa kutulia maana mazingira yakihitaji nifanye hivyo ila.......!
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

You’re back mwanakwetu?

Yani wewe usingesumbuka mimi pdf nilikutunzia mwenyewe… Achana na hao mapampula waliokutumia screen shot pm..!!

Kwa kifupi de gunner kajipakulia minyama mpaka misamaki kwamba wewe chombo yake eti..!! 😹😹😹

Mi kama kawaida yangu napenda kusikia umbea na umbea umeletwa sa nifanyaje? 😹

Muhimu de Gunner athibitishe hapa na wewe ukiwepo? Au unasemaje mwanakwetu?
 
Back
Top Bottom