Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,665
- 99,553
Ndio nani tena huyo mzee? Na we ni nani?Yule wa kuitwa prida sijui frida mlishamaliza tofauti zenu?
Ndio nani tena huyo mzee? Na we ni nani?Yule wa kuitwa prida sijui frida mlishamaliza tofauti zenu?
Endelea kuni-hype, nafurahije 😂Huyo ndo binti wa zamani AKA kigoli wa kale AKA msichana wa enzi AKA kipusa wa kitambo AKA mwali wa dahari...
Hakuna, japo bado nakumbuka kituko cha kumcheka mjimama wako sura yake wakati anakojoUtamuambia nini?


Hahaa Seroo...Missing u so badd sissy..😍
humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!
Ukijichanganya sana especially na hii gender 🐱 utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!
Wengine ndio hao multiple za kisenge na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I don’t reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vile😎
Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am out🤸🏽♂️
Hapa hukutakiwa hata kuwepo, utapewa kikundi usichokijua wakati unapita zako tu kujifurahisha😂🤣🤣🤣 Chokoraa tena, ngoja na mimi nilale nisije nikaambiwa kwa nini nacheka mtu kuitwa chokoraa
😹😹😹 Tulia basi kama huna wakili wa kukutetea kesi ya uhaini inakuhusu..!!Hii rumba ya leo siiwwezi, naona umengia kwa madaha ewe winga
Hapana dawa ishawaingia kitramboo, sasa hivi nikitibuliwa na boss naachia comment huku watafutane huko watajijua wenyewe😎Hahaa Seroo...
Inaonekana utaachia waraka wa pili siku sii nyingi.
Ebu nione kama kweli una kidudu.Ntang’olewa kidudu😂
Eti wee chokoraa 😹Bye maa 🤗
Kwa kweli life is sweet ,cant be bitterHapana dawa ishawaingia kitramboo, sasa hivi nikitibuliwa na boss naachia comment huku watafutane huko watajijua wenyewe😎
Hao ma crush sijui crash, wapo kweli au wanatu chora tu?Kijana wangu, bora sasa hata awe mwenza 🤣🤣
Basi anitoe mimi, akuongeze wewe kwenye kapu lake.Anatumia vizuri msemo wa usiweke mayai yote kwenye kapu moja
Kwani mimi na wewe tulikua na ukaribu lini?Ukimya wako ndio chanzo..
It was because of your insane behavior of leaving me astray
Nipo na Gen Z kama huyo the Gunner.Ulienda mwenyewe au uko na maMtu?
Safari njema!
Heeeee real?Nimejiweka mbali nae yeye ila wagonjwa wenzake wanapanga foleni huko upenuni kunipaka mavii 🙌
Jamani acha basi hakuna kitu maa😊Heeeee real?
Mbona una siri sana binti.. Mambo yako unamaliza mwenyewe bila kunishirikisha dada yako tupigane vita moja. 🤔
Hata sijui mimi 😁Aisee hii kumbe kulikuwa na vita ya ma wadada na ma crushes wao?
Hii mpya
Daaaah 😆 😆, kwahiyo ulinichangua kwa vigezo gani?Mwaka wa Mbele alileta hilo neno ngariba wa kijiji ety kati yako na binti kiziwi mmoja wapo ni ngariba wa kijiji
Mie ikabidi nikuchague wewe 😂
😁😁 Sasa mimi na vikundi wapi na wapi, niache kulea wajukuuHapa hukutakiwa hata kuwepo, utapewa kikundi usichokijua wakati unapita zako tu kujifurahisha😂