Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Kivipi tena si ulishamwandikiaga hadi uzi mkuu
Aisee hii dunia na wanawake hawa ndugu yangu basi tu... Sisi wanaume tunakaxi kweli kweli...

Nimempa moyo wangu yeye anataka kunibwaga kisa bado Sijafikia utajiri wa billions. Ewe Binti wa zamani nimekupa zawadi ya nafsi achana na vitu vya kupita, our love is eternal
 
Piga swaga jishushe utashangaa anakupa funguo za gari umwendeshe kwenda kazini kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…