ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,092
- 47,074
Kazi sana karibu jukwaani dearNdiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!
Kazi sana karibu jukwaani dearNdiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!
Unaamka asubuhi una maadui wapya usiowajua😂 kisa ulilike post ya crush wake utajutraaHumu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
DuuuhHumu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
Karibu mgeni, vipi unaionaje JF baada ya kujiunga?Unamaanisha nini?
Nipo njian badoPole sana, vipi umepata siti au umeandika hii reply baada ya kufika kariakoo?
Hii ndio bongoyaani kama vile hakijatokea kitu!
Kweli nilijifunza hilo kwenye ugomvi wa Depal na yule mwanajeshi, unashangaa tu unashambuliwa na kikundi cha watu na hata huelewi nini kinaendelea!Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
Asante, bora umejiweka mbali na huyu mwehu, hana akili!Kazi sana karibu jukwaani dear
Labla atakua anaona JF ina idadi kubwa ya masingle mazaKaribu mgeni, vipi unaionaje JF baada ya kujiunga?
Nalog out tu, nafocus naNipe siri Binti wa zamani, unawezaje kupotea kabisa kabisa? Nataka nijifunze kwako.



na 💰💰💰. Hiyo idadi kubwa wewe umeijuaje? au wewe ndiyo baba wa hao watoto 😂😂?Labla atakua anaona JF ina idadi kubwa ya masingle maza
Mbona hapa u sound like mbaga🤔Labla atakua anaona JF ina idadi kubwa ya masingle maza
Wewe ni mwanaume wa aina gani unarukia rukia kila mwanamke humu? huoni aibu?Sasa nyie mnaniacha mm nifanye je sasa,
Imagine binti kiziwi kanifukuzia mrembo wangu na kuifanya nia yangu kwa ShesRise_1 kuota mabawa na pia ephen_ kunipakazia stori za uongo ili mradi tu mm na wewe uhusiano wetu ubomoke..
Hongera, unajua wengi wana log out ID ya Majuto na ku log in ID ya Ngosha, sasa kama wewe unaweza kupotezea mitandao hadi usijue kinachoendelea kabisa manake bado hujaathirika na kuwa online hasa jf. Hii kitu naitaka, nitafanyaje, bado sijapata solution.Nalog out tu, nafocus nana 💰💰💰.
Haya mambo ya mitandaoni mimi siyachukulii kwa umuhimu kivile!
Anatumia vizuri msemo wa usiweke mayai yote kwenye kapu mojaWewe ni mwanaume wa aina gani unarukia rukia kila mwanamke humu? huoni aibu?
Nimejiweka mbali nae yeye ila wagonjwa wenzake wanapanga foleni huko upenuni kunipaka mavii 🙌Asante, bora umejiweka mbali na huyu mwehu, hana akili!
Ukimya wako ndio chanzo..Wewe ni mwanaume wa aina gani unarukia rukia kila mwanamke humu? huoni aibu?
Mimi sipendi kuwa addicted na kitu chochote, wala kupoteza control ya tabia au mienendo yangu.Hongera, unajua wengi wana log out ID ya Majuto na ku log in ID ya Ngosha, sasa kama wewe unaweza kupotezea mitandao hadi usijue kinachoendelea kabisa manake bado hujaathirika na kuwa online hasa jf. Hii kitu naitaka, nitafanyaje, bado sijapata solution.