Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,956
- 26,498
Wabamizwa
Na nani, na nini? daktari, jazilizia nyama kidogo!Wabamizwa
Unamaanisha nini?Jitambulishe basi na ID yako ya zamani, au ni secretarybird au KERATO MOMBAA mmeamua kuja kivingine?
Ndiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!Ulehaya maneno madimu sana mwanike, unene nakutogilwe ubebe duhu,
When you were gone, I prayed day and night to Atleast get a glimpse of you.. Welcome back my love 😍
Mbona kamkono mdomoni bro, toka lini umeanza habari za kuoneana aibu?🤭🤭🤭 Niko poa
Acha nikae kimya! Nikitia neno nitaonekana m'baya😂Long time ulienda wapi?
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake 😩
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundiMissing u so badd sissy..😍
humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!
Ukijichanganya sana especially na hii gender 🐱 utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!
Wengine ndio hao multiple za kisenge na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I don’t reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vile😎
Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am out🤸🏽♂️
😂😂😂 Usitie.Acha nikae kimya! Nikitia neno nitaonekana m'baya😂
Nilikua nafanya tafiti ya vitendo kuhusu orgasm, nime-explore a new frontier nikawa sitaki kabisa kurudi huku duniani kwa hawa wamatumbi.Long time ulienda wapi?
The only place anaweza kutumiliki ni ndotoni, akiamka anajikuta kakumbatia mbupu zake anapata makasiriko anakuja kuandika manyuzi yake ya hovyo hovyo humu!Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake 😩
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Sasa nyie mnaniacha mm nifanye je sasa,Ndiyo maana ShesRise_1 alikupiga ban kumuongelea, hebu niunganishe na hiyo ban yake na ujitahidi kukaa mbali sana na mimi!
Exactly in the spirit realm tumeshaoana kabisa... Bado manifestation ya physical realm. 😎The only place anaweza kutumiliki ni ndotoni, akiamka anajikuta kakumbatia mbupu zake anapata makasiriko anakuja kuandika manyuzi yake ya hovyo hovyo humu!
Mimi nimepakaza maneno gani tena?Sasa nyie mnaniacha mm nifanye je sasa,
Imagine binti kiziwi kanifukuzia mrembo wangu na kuifanya nia yangu kwa ShesRise_1 kuota mabawa na pia ephen_ kunipakazia stori za uongo ili mradi tu mm na wewe uhusiano wetu ubomoke..
Mwanike, our souls are intertwined.. No one can separate the two of us. You know that too.
Dunia haina hurumaMimi nimepakaza maneno gani tena?
Moja baada ya jingine utayajua yote!
Anapenda nini 😆😆😲, daaah 😂Siku hizi amebadilika sana acha tu! Kuna siku kaanzisha uzi anapenda harufu ya k uzi ukaenda na maji!
Kwamba sisi si wanawake au sisi tuombe nini sasa?Amesema sisi sura za baba hakuna kuomba pesa😆
Dunia inaenda kasi sana 😂Mwenyewe siku hizi simuelewi kabisa🤣
leo dada alitupa mambo yake!!!!!!! Anapenda sana ukuni hasa akiona hela!!!!!!!!!ila naomba mniwekeeni hapa nyuzi zenye tija
Kwa hiyo pesa heshima, 😁😁
Anyway, tuseme umempata mtu wa kukutupia hata 100m ila kuna tetesi ana grid, na kwako amekuwa specific kabisa anataka kavu. Unachukua au unatema bungo?
Hukunielewa dada.
Hapo nilimjibu alieleta ushauli kwa wanaume tujifunze kuhonga.
Ndio maana nikasema stori ni nzuri jukwaani ila sio katika jamii.
Mfano leo unaweza kumshauli binti yako atumie k yake kupata vitu kwa wanaume eti kwa kuwa wewe uliitumia? Hio ndio upende wa jamii.
labda wewe bado mtoto!!! unaweza kumnyima kyuma mwanaume akikutupia hapo 20m cash???Hukumpenda ulitamani hela zake...ungempenda kiukweli usingempa mwarabu maku Nairobi
Hichi kikundi ni cha wachamba umbea,Humu ndani bwana 😁😁 kama ulivyosema hapo juu unaweza kujikuta umejiingiza kwenye ugomvi mbao huujui, kisa umejiunga kwenye kakikundi ambako hata wewe hujui kwamba ni kakikundi
Aiseee noma sana so Dogo Pusi ataisikia redioni tu??The only place anaweza kutumiliki ni ndotoni, akiamka anajikuta kakumbatia mbupu zake anapata makasiriko anakuja kuandika manyuzi yake ya hovyo hovyo humu!
Alikuwa anashindana na boss wakeDuuh, alifanyaje tena?
Classmate leo dada umefunguka humu mpaka siamini kama ni wewe 😂leo dada alitupa mambo yake!!!!!!! Anapenda sana ukuni hasa akiona hela!!!!!!!!!
Wapendwa habari zenu.
Leo nimeona niwaletee vi story vyangu na vitakuwa vinapatikana humu kwa mtindo wa picha za zamani na matukio yake.....
1. story namba moja
Hapo chini nakumbuka ilikuwa event moja miaka hiyo!!!!
Mimi nilibahatika kupata kazi nikiwa mdogo sana huku sina uzoefu wa aina yoyote siku hizi mnaita fresh from school. na kiukweli nikitaja hiyo nafasi ni ndogo sana lakini majukumu yake ni makubwa.
Nakumbuka sijui kilitokea nn lakini kwenye ile nafasi tukawa wawili, mwenzangu ni mzoefu mimi sijui lolote kuhusu ile kazi.
Bwana ee!!! nakumbuka baada ya kuanza kazi wikiend...
- leo dada
- tbt
- Replies: 828
- Forum: JF Chit-Chats
2. TBT
Muendelezo
Basi maisha ya kumiliki ofisi yakaanza rasmi.
Boss alikuwa akinipenda sana na kunidekeza sana yaani mpka nikawa raha zaidi kuwa ofisini kuliko nyumbani.
Kipindi yotee haya yanaendelea nilikuwa bikra yes nilikuwa bikra!!!!! Nilikuwa nimehaidiana ku oana na kijana mmoja hivi kwa sasa ni moja Kati ya madaktari bingwa hapa Tanzania.
Boss ikawa kila safari na mimi nimo,, akafanya mpango mpaka nikawa napelekwa na kurudishwa nyumbani na gari ya serikali japo cheo sina.
Nikahamishwa jengo na tukawa rasmi jengo moja na boss.
Basi Kuna siku boss akaja ofisini akaniwekea bahasha...
TBT 3
Maisha ya mahusiano yakaendelea vizuri huku nikifanya kazi kama mwajiriwa na kufuata taratibu zote.
Boss nilianza kumpenda ile kweli kabisa na niliwaza namna gani ya kumdhibiti.
Niliwashirikisha mama zangu wadogo ambao walikuwa mashingingi kweli kweli mama zangu wadogo wakasema kesi ndogo......
Wakaniunganisha na bi chau,, huyu aliyekuwa muigizaji na mtangazaji sijui kama bado yupo!!!!
Bi chau alihitaji alipwe fedha na mafunzo aliniandika kwenye kitabu chake ni wiki moja.
Basi boss nilimshirikisha nilipewa id ya wiki moja na pesa akanipa nikaenda rasmi kwa bi chau na kukaa kwake...
Kwa hiyo pesa heshima, 😁😁
Anyway, tuseme umempata mtu wa kukutupia hata 100m ila kuna tetesi ana grid, na kwako amekuwa specific kabisa anataka kavu. Unachukua au unatema bungo?
Pesa ina heshima yake bwana!!!!
Sasa naanzaje kukataa si najiweka kwenye mode ya kutumika tunaandana fresh nampa!!!!!
Bora upate ukimwi kwa aliyekwambia kuliko mtakatifu anae kuua kimya kimya
Hukunielewa dada.
Hapo nilimjibu alieleta ushauli kwa wanaume tujifunze kuhonga.
Ndio maana nikasema stori ni nzuri jukwaani ila sio katika jamii.
Mfano leo unaweza kumshauli binti yako atumie k yake kupata vitu kwa wanaume eti kwa kuwa wewe uliitumia? Hio ndio upende wa jamii.
kumbe,,, mi sijatumia k bali bahati ilinifuata kupitia k yangu!!!!!
Hapo la ajabu hakuna hivi ukiwa na mwanaume ana pesa na kakuoa hapo k hutumii.
Soma kwa kuelewa
labda wewe bado mtoto!!! unaweza kumnyima kyuma mwanaume akikutupia hapo 20m cash???Hukumpenda ulitamani hela zake...ungempenda kiukweli usingempa mwarabu maku Nairobi
Halafu ku cheat haimaanishi unamchukia au humpendi mpenzi uliye nae