Mlikuwa wa dhahabu, sasa ni full ushangingi😁JF ya sasa bado ina hizi mambo kumbe
Nilidhani tuliyaacha 2016 - 2020 huko wakati ule nasikia watu wana vikundi vyao humu vya kukingiana vifua kwenye shida na raha 😂
Wenzio wanavyo we unakwama mahala😂Sema mie sijui nina shida sehemu, miaka yote hii nimeshindwa kupata kakikundi hata kamoja ka kunitetea hata jinsia yangu tu? 🤣 kuna sehemu siko sawa
Hizi crush umezichagua kwa vigezo vipi? The ice breaker anachamba huyooo🫢Ifike mahali nipate hata ka-crush ka kugombaniana na watu wa humu kmmk
Crushie zangu mshamba_hachekwi na The Icebreaker nisiwaone mnacheka na jinsia inayojitambulisha kama ke humu 🤨
Kwa mtaalamu wa kazi za uvuvi wa papuchi 😆Aje darasani kabisa 😎
Na machokoraa menzio yanayo seek attention forum nzima😂Wachaw wnyw c ndo kama ww
Unautamani uzee 😁😁 utafikiwa tu, kila mtu atafikiwa kwa wakati wakeNakuwa tena hapa naenda wapi na huu uzee😁
Hakuna siri ya watu wawili, ukisimlia ya mwenzio na yako vilevile yanasimliwa huku! Yamwage tuone maajabu! Nywanoko!😂Usijali, najua unahofia zile siri zako kuvuja, Tulia siri zipo sehemu salama 😎
😂😂Twende taratibu sasa ngariba wa kijiji
Niulize vingapi nimeshavipekecha? Dr. Mariposa huwa anakeep count, ngoja nimwite akupe idadi 😎Visimi vingapi ushavikata? 🤣🤣
Siutamani unanijia wenyewe, mpaka stress zote nahamishia huku🫢Unautamani uzee 😁😁 utafikiwa tu, kila mtu atafikiwa kwa wakati wake
😁😁 Utakufa vibaya nakuhurumia weweKwishaaa hakuna shida hapo.
Nimeona mnazungumzia kikundi. Kiukweli na mimi nahitaji kijiji, mkipata kikundi mnichomeke, Nimegundua umbea mwingi wa humu huwa unanipiga kisa sina kijiji. 😩
Yeye atunishe kifua tu aniface, hakuna haja ya kuzunguka zunguka!Kwa kweli kwa hili nimeonewa. Yeye mwaka wa mbele alinichomekea tu hapo, alimkusudia Binti wa zamani.
Heri nitulize mbupu? 😂😂😂💔😁😁 Utakufa vibaya nakuhurumia wewe
Vijana waoga waoga hawa hawawezi kuja direct.Yeye atunishe kifua tu aniface, hakuna haja ya kuzunguka zunguka!
😹😹😹😹Lamomy nakuomba sasa dada angu usinihusishe kwenye mambo nisiyojua
Sijui chochote
Narudia sijui chochote kuhusu hilo neno ililo ni quote na sitaki kujua
Sitaki maneno nitueni ndugu zangu 🙌
Sasa kama nikisema niseme nitasema mangapi?
Hakuna kitu siwezi na sipendi kama maneno na maugomvi
Kwa sababu ningetaka hivyo basi ningefanya zamani sana
Ningekua mdau ningefanya zamani sana ninayajua baadhi ya mambo ila sitaki kusema na sitasema
Kazi yangu humu jukwaani ni moja kufungua nyuzi zangu na kujifunza
Kusoma na kuburudika
Hayo mengine naombeni sana mnitoe sijui na sitaki kujua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwishaaa hakuna shida hapo.
Nimeona mnazungumzia kikundi. Kiukweli na mimi nahitaji kijiji, mkipata kikundi mnichomeke, Nimegundua umbea mwingi wa humu huwa unanipiga kisa sina kijiji. 😩
Eh kudadeki, Asalamaleko shekhe 😎Una ugonjwa wa macho.
Dah huyu alikuwa mwana kabisa. Popote alipo arudi.Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe 😂
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Nimeshaijua siri, utekelezaji unafuta. 😀Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema 😂
Hapo sio kweli, umeweka chumvi nyingi 😂Kwa mtaalamu wa kazi za uvuvi wa papuchi 😆
Mpaka tukuueNa machokoraa menzio yanayo seek attention forum nzima😂
Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako 😎Hakuna siri ya watu wawili, ukisimlia ya mwenzio na yako vilevile yanasimliwa huku! Yamwage tuone maajabu! Nywanoko!😂