Hizi ndoa za masharti ni noma
Kwani kuna mtu anaolewa bila masharti....???, muhimu kufahamu tabia ya mtu katika mazingira husika.
Hizi ndoa za masharti ni noma
Anapenda kweli starehe c kidogoUyo kazoea huta wezananae ,akiombwa na wengine atawapa tu, kwa sababu kitu kimeshaingia damuni akiwezi kuisha kabisa ,wanaotaka kujikumbushia watajikumbushia tu,kaka huyu uwezi kumchunga achana nae tafta mwingine atakae kufaa kwanza masharti yake anaonekana mtu anayependa stare
he sana .
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!
Na mm cna muda wa kuchunga mruUyo kazoea huta wezananae ,akiombwa na wengine atawapa tu, kwa sababu kitu kimeshaingia damuni akiwezi kuisha kabisa ,wanaotaka kujikumbushia watajikumbushia tu,kaka huyu uwezi kumchunga achana nae tafta mwingine atakae kufaa.
sitaki kutoa povu wala mate, Hakika wewe nawe ni CHANGUBABA, NADHANI JINA HILO LITAKUFAA. Kuoa si kujaribu kama unavyojaribu kiatu kama kinatosha, maana kisipotosha unabadilisha. lakini kuoa ni kuungana ktk mwili na roho pia, kama utabahatika kuoa huyo CD ukawa na future nzuri nakushauri kapeleke sadaka kwa Mungu wako, au wadhani utampeleka gereji akabadili tabia yake??? Wadhani hadi wewe unamkuta akiwa CD, hakuna hakuna aliyeweza kupata mawazo kama yako???. maana ulivyozimika kwake wapo na wenzio wamezimika hivyohivyo na pili tunaweza mjengea hadi nyumba. Jaribu uone
Bhana, sikiliza moyo na hisia zako!
Jiulize wewe umesha du mara ngapi na wanawake wangapi? Je unadhani ni sahihi uhukumiwe kwa your past experience?
Umeshajaribu kumdodosa nini kilichomfanya awe changudoa? Umejua msimamo wake juu ya uwezekano wa kuacha hiyo biashara ya kujiuza?
Ushauri
usifanye haraka, endelea kumchunguza, mwende kupima VVU, Tumieni kifudusi(Condom) kila mnapongonoka,
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!
Dah changamoto hyomhh hao hawawekeki ndani sanasana utakuwa umewasaidia majirani we jitu limeshazoea kukunwa na size tofauti,sehemu tofauti na kwa siku watu tofauti tofauti
wewe mleta mada unapotea i swear tena acha kabisa mwanza wazuriii wengi na wanatabia nzuri tuuuu vuta subra utampata hizo mi naita obsessions baada ya mda utajielewa tu na utakuwa sawa
utampata unayeendana nae
embu fikiria biashara anayoifanya????ila kama unazidiwa unashtua kisela kwake ila si kufikiria kumuoa au kuweka makazi hapo
kumbuka kunguru hafugiki
ChechechechecheHakuna definition ya kuoa..
hali ya kua moyo wako umeridhika,
tia kitu ndani kiulaiiiiiiiiiiini..
maneno ya watu yapo tu na sijui kama yatabadili moyo wako.
kwani nyie wote ni machangudoa ndio maana mkachukuana.
yeye anauza wewe unanunua,kwa hiyo ni mtu na mteja wake,si mbaya.
nakushauri kwa moyo mkunjufu kabisa,muoe tu kwani ndio wa type yako.
ukimuacha utaidhulumu yako nafsi..
Shahadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! tena ya chuo kikuu
Ha ha ha haah!! Kweli kabisa.katavi ukifanya majumuisho unagundua ndoa nyingi ni vipeperushi na anayetaka kuvisoma hazuiliwi pale anapovihitaji.