Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Nakuunga mkono aisee, hapo jamaa anajitafutia pressure za bure tu.........!!to me usioe kabisa huyo mwanamke...........bado akili yake haijakaa vizuri
ameanza kukwambia umnunulie gari na umfungulie duka la nguo ndo atulie!!!!!!!!!!!!!!!!!!
AMIN AMIN NAKUAMBIA unajitafutia pressure.....kwa nn asiombe duka la nguo tu ili apate kazi ya kufanya
itakayomuingizia kipato then afikirie kununua gari kwa kazi za mikono yake???
JE ASIPOPATA GARI NDO ATAKUWA MALAYA MPAKA KUFA KWAKE?????