Nimependa changudoa

Nimependa changudoa

we piga tu usepe, utaweza kumtimizia mahitaj yake ya unyumba asitoke nje?
kuna movie moja ya Julie Robert sikumbuki jina,,,aliact kama changudoa akakutana na jamaa mmoja alietaka tu kampani,,,lakini yule jamaa alimbadili kabisa na kuwa mtu anayejiheshim na kuheshimika,,,so unaweza mwokoa pia huyo na kumbadilisha
 
jamani naombeni mm nilisemee hili kwa mitazamo tofauti na hapa nakupa wewe mtoa mada nafasi ya kuchagua kwa makini.

changudoa kupendwa na kufanywa mpenzi hadi mke si kitu kibaya hata kidogo ila tu itategemea utayari wa mdada na wewe mwenyewe. iwapo binti atakubali kuachana na jkazi hiyo, na kuambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja basi huyu CD can make a material wife.

on the ither hand ikiwa kwamba huyu CD akakubali kuolewa ila moyo wake usiambatane na mumewe basi huyu hafai kuwa material wife na kumuoa ni sawa na kujitwisha gunia la misumari ama kiroba cha mavai. however kama binti ama huyu Cd atakataa kabisa kuoleewa ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni bora zaid kuheshimu mtazamo wake huu.

kiukweli sababu za mtu kuwa changundoa ni mtambuka na wapo wanaoafanya kwa kupenda na wapo wanaofanya kwasababu ya stuataion tu. tusikhukumu kwamba hafai kuwa mke ama tusimtetee kwamba anaafaa kuwa mke pasi kumpa nafasi ya kumchunguza na kumsikiliza binti husika.

jaribu wewe mtoa mada kuongea li ujue kwann anafanya kazi hiyo na je alishawishia na kitu gani na kama yuko tayari kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuacha biashara hiyo. kamwe usi du bila kondom wala usimwonyeshe hisia za wazi pasi kumchunguza sana sana.
Basi sawa GFSONWIN mimi nitakuchunguza kwa makini kama unafanya coz of situation or ni UTASHI wako tu,halafu NITAKUOA nikuweke ndani .
 
Iliwahi kunitokea nikamkubali dada flan, mdogo kumbe changu. Nilifuta mawasiliano nae haraka sana.
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!
si wote wanafanya uchangu kwa hobi,wengine hufanya kutokana na shida au majanga mbalimbali yaliyowasibu,mchunguze kwanza,mshauri akapime na ikibidi umzuie hiyo biashara huku ukimpatia huduma ndogondogo.unaweza kupata bonge la mke hadii mwenyewe ukashangaa,lakini uwe mvumilivu na maneno ya wana wa adam
 
Inaitwa Pretty Woman but hii thread ni ya toka 2012 sijui kama bado ushauri unahitajika!
kuna movie moja ya Julie Robert sikumbuki jina,,,aliact kama changudoa akakutana na jamaa mmoja alietaka tu kampani,,,lakini yule jamaa alimbadili kabisa na kuwa mtu anayejiheshim na kuheshimika,,,so unaweza mwokoa pia huyo na kumbadilisha
 
wanaume tuna vichwa viwili, kimoja kikubwa kimesimama muda wote juu kingine kidogo kinasimama kwa vipindi maalum. hapo kale wanaume tulitumia kichwa kikubwa kufikiri na kuamua(kuongoza maisha). sijui kipi kinakisibu kizazi pendwa cha leo. vijana wetu wanaongozwa na vichwa vidogo masikini ya Mungu. vikisimama tu basi, vichwa vyao vikubwa hufa kibudu!
 
Angeleta mrejesho ingekua poa sana ili tujue alimwoa huyo Dada changudoa Na wanaendeleaje?
 
Angeleta mrejesho ingekua poa sana ili tujue alimwoa huyo Dada changudoa Na wanaendeleaje?
Nadhani hata kujua kama wameshabahatika kupata matunda ya ndoa ingetusaidia zaidi....maana changu inawezekana alitoa mimba nyingi?
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!
ila ukiwa hujalewa unaokota khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hapata wala hupotei mdogo wangu, angalia vitu hivi, je umri wake anafaa kuwa mkeo yaani hajakuzidi miaka, then muulize maswali kuhusu dini yake, kabila lake pia mwambie hupendi afanye mambo hayo ya ukahaba, mpe huduma na mahitaji yote ili asiwe anaenda clubs kujiuza. baada ya hapo mwambie uzuri wake na thamani yake kama mtu anayefaa kupendwa na kuheshimiwa na kuwa na mwanaume mmoja tu.ukifanya hayo basi huyo ni mkeo. ila mkapime, hiv na ya zinaa. ikiwezekana mwambie daktari ukweli ili ampatie matibabu ya kisaikolojia na kiafya ili atokane na hali hiyo ya ukahaba. all ze best!
 
Kaka pole. Kwa namna unavyomsifia huyu binti, anaonekana ni mrembo sana halafu changudoa. Sasaaa, alivyo mrembo hivyoo ni wanaume wangapi wamewahi kulala nae kabla ya kuanza hio biashara? na baada ya kuanza hio biashara ni wangapi? wangapi wazima na wangapi wamegonjeka? we ni wa ngapi? je bado anaendelea na biashara yake?

Je ukiitafakari kesho, unaiona future yako ambayo umekua ukiiota? unaona umri uliotamani kuuishi mbele yako kwa hali hiyo, Mkuu mimi naona kiza kinene mbeleni, tafadhali tumia ubongo wako vizuri kuushinda huo mwili usiokubaligi kushindwa kirahisi rahisi, hadi utie juhudi sana ndio utaushinda.

Mungu akutie nguvu unapofanya maamuzi, you have a great future ahead of you brother, think clearly. ''Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe, nayo tamaa ikikomaa huzaa dhambi, nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti''
Poa tu, si anayo kama walivyokuwa nazo wengine. mengine yote nyongeza.
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!

Kama ni mzuri, fundi wa mambo pita naye tu. Wote wako hivyo hivyo na hiyo tabia ya uchangua hata wale ambao hujawaona. Mengine yote mbele kwa mbele.
 
Mkuu binadamu hubadilika tuu utafanya vyema sana ukimsitir huyo bint kwa kumuoa
 
Yan wewe mzabzab mwenzio amelamba asali anataka kuchonga mzinga ww unamshauri apotezee....sidhan kama hyo ni option ...nnachoona hapo huyu kuchukua machangu si style yake...ss amechukua kajikuta amefall ..mana wazoefu ufanya hit and run
Anyway mm naamin kama huyo dada kujiuza imetokana na sabab si kwa mapenz yake anaweza kukufaa..ila uwe makini na umchunguze mana dunia ina mambo
Weee acha utani changu anafaa tena? many inlove with the dimple have the mistake of marrying the wrong girl....itakuwa kwake. Utamu wa papuchi usikufanye maamuzi ya kijinga
 
Back
Top Bottom