Nimependa changudoa

Nimependa changudoa

R.I.P. mdogo wangu wana Jf tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi!
 
Km umempnda ongea nae kwanini aliamua kufanya ivo, ukiridhika na sababu zake nenda mkapime,umuoe.
Kuna MTU alipata changu ivo ivo, akampeleka kwake akangangania Adi Leo ni Mke mwema, kumbe alifanya ivo kutokana name matatixo alioyapata.
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!
muulize kama yupotayari kuacha na kuwa commited....na sababu za yeye kuingia hukoni niniili msijepotezeana na ukalost mazima
 
huyu jamaa bid2015 si ajitokeze sasa na aseme kama amemuoa huyo dada!uzi wa toka 2012,bado unatolewa ushauri tu!
 
Oa ila uwe na uhakika baba na kaka zako hawajapita hapo vinginevyo utaishia kumtia mapanga atakapokua anasalimiwa na kila mtu,hutaacha kumshuku hata akisalimiwa na ndugu zake,mke anauma dogo usiende spid
 
Mkuu kwani changu doa nae si binadamu kama wewe na mimi. Kwanza kama kweli umempenda kwa dhatio na ukamwoa,
Mungu atakubariki sana kwa kumsaidia na kumsitiri mja wake kwani utakuwa umemwepushia mengi. Kumbuka hata Mary Magdalene alikuwa hooker. Waswahili wasema: Unaweza ukaligeuza jalala kuwa utajiri
Sio kwa ndoa wewe achakumdanganya mtoto,watu wameoa tu kawaida kila siku jakamoyo ukioa changu je?labda umuwekee mtego kwenye puchi ili akilalwa anase,sio vinginevyo hicho nikitanzi cha kifo
 
HATUKUSHAURI,SIKU AKINUNA ,BALAA LAKE HUTOLIWEZA NI WAOVYO SANA.JITAHIDI UISHI SOCIAL LIFE UPATE WA HUKO CHUONI KWAKO LAKINI SIO HAWA AMBAO TOKA WAKIWA NA MIAKA 15 WALIWAKAIDI WAZAZI WAO KUHUSU KUSOMA AU KUWASIKILIZA KWA LOLOTE LILE,KIFUPI HUTOWEZANA NAO
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!
Kapime ukimwi
 
Mkuu wasikukatishe tamaa muhimu ni utayari tu katika majukumu hayo mapya, hata hao waliooa na wenye wachumba waliotulia hawana uhakika, kuna stori moja ya rafiki yangu wa karibu alieokota dada poa pale kona na hadi leo ni mke mwema kabisa katulia nyumbani vizuri sana, maana ukimuuliza anakwambia hakuna starehe asiowahi kuifanya so kaamua kutulia na sasa pale kitaa kinondoni ni dada wa kupigiwa mfano
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi katika shirika moja la kimataifa.

Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yani warembo.Nilipimaliza chuo nilifanya kazi katika bank moja Dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi katika shirika hili nilipo sasa huku Kanda ya ziwa.

Kwakuwa huku nilikuwa ugenini siku moja nilienda club hapa Mwanza katika cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lakini ni changudoa.

Nikachukua namba kwa usiku huo mimi utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo nikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka nataka kumuoa. Sasa sijui napotea.

Naomba ushauri mwenzenu!
"kula..... Kula tu Mjomba, wahenga walisema KIZURI KULA NA WASWAHILI WENZIO"
 
jamani naombeni mm nilisemee hili kwa mitazamo tofauti na hapa nakupa wewe mtoa mada nafasi ya kuchagua kwa makini.

changudoa kupendwa na kufanywa mpenzi hadi mke si kitu kibaya hata kidogo ila tu itategemea utayari wa mdada na wewe mwenyewe. iwapo binti atakubali kuachana na jkazi hiyo, na kuambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja basi huyu CD can make a material wife.

on the ither hand ikiwa kwamba huyu CD akakubali kuolewa ila moyo wake usiambatane na mumewe basi huyu hafai kuwa material wife na kumuoa ni sawa na kujitwisha gunia la misumari ama kiroba cha mavai. however kama binti ama huyu Cd atakataa kabisa kuoleewa ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni bora zaid kuheshimu mtazamo wake huu.

kiukweli sababu za mtu kuwa changundoa ni mtambuka na wapo wanaoafanya kwa kupenda na wapo wanaofanya kwasababu ya stuataion tu. tusikhukumu kwamba hafai kuwa mke ama tusimtetee kwamba anaafaa kuwa mke pasi kumpa nafasi ya kumchunguza na kumsikiliza binti husika.

jaribu wewe mtoa mada kuongea li ujue kwann anafanya kazi hiyo na je alishawishia na kitu gani na kama yuko tayari kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuacha biashara hiyo. kamwe usi du bila kondom wala usimwonyeshe hisia za wazi pasi kumchunguza sana sana.

Acha kumpoteza mwenzio kahaba ni kahaba tu
 
Back
Top Bottom