- Thread starter
- #161
Mhhh makubwaahahahhahahhahhhah yani ahsante kwa kunipe cheko la haja asubuhi yote hii!lol!
ahahahhahahhahahha watu kwa kusoma katikati ya mistari ni noumer!
shahada ya chuo kikuu mcheso?
Mhhh makubwaahahahhahahhahhhah yani ahsante kwa kunipe cheko la haja asubuhi yote hii!lol!
ahahahhahahhahahha watu kwa kusoma katikati ya mistari ni noumer!
shahada ya chuo kikuu mcheso?
tuko wangapi?tulizana
Kula dili!"
Kwani wasomi wao sio binadamu?ni hatari sana na ni gret lose kwa taifa km wasomi wanasoma kwa gharama zote then wanagraduate then wanakufa, inamaana ulisoma ili ufe kizembe kihiivyo
Think 4THINK TWICE😱hwell:
Amesema nimnunulie gari na kunfungulia duka la nguo atatulia. My take vyote hvo viko ndani ya uwezo wangu
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina shahada ya chuo kikuu na ninafanya kazi ktk shirika moja la kimataifa. Kiukweli napenda sana wanawake hasa wazuri yaani warembo.
Nilipimaliza chuo nilifanya kazi ktk bank moja dar baada ya kuchoshwa na kazi za bank nilipata kazi ktk shirika hili nilipo sasa huku kanda ya ziwa kwakuwa huku nilikuwa ugenn siku moja nilienda club hapa mwanza ktk cheza cheza nikamuona dada mmoja kwakweli ukimuona alivyopendeza utatamani umuweke ndani lkn ni changudoa.
Nikachukua namba kwa usiku huo mm utaratibu wangu silalagi na mwanamke wa kuokota nikiwa nimelewa.
Kesho yake nilimtafuta nikiwa sijanywa ndo nikalala nae baada ya hapo ikawa kila nikipata chance namuita taratibu ninempenda mpaka bataja kumuoa sasa sijui napotea naomba ushauri mwenzenu!
Hili nimelichukua kabisaKaka huyo mtu angekua anafanya hiyo biashara kwa sababu ya shida angeanza kupunguza baada ya wewe kuanza kuonesha nia ya kutaka URAIS kwenye maisha yake. Lakini kama anaendeleza libeneke usiwe optimistic sana kwamba atabadilika. Na hilo sharti la kununuliwa gari na kuanzishiwa duka la nguo bado haikupi guarantee ya kwamba ataacha mazima. Kaka maisha hayafanyiwi mazoezi, wala hayana gia ya reverse au suprementary examination. Ukichemka unadisco mazima. Kwa umri wako na kwakua mpunga (pesa) unayo, tulia tafuta mrembo wa haja zako na utampata. THATS MY TAKE! Lakini mwisho wa siku nahodha wa maisha yako ni wewe, ukiamua kuzamisha au kuendelea kuelea ni wewe....you gonna have only yourself to blame.
Nikimpata alietulia nitafurahiHeri uchomwe na mwiba mguuni kuliko uchomwe mbavuni ukiuchomoa siajabu kidonda chake kikasababisha utumbo ukatoka,
kama kweli anakupenda asingeendelea na bz yake lkn kunguru wa Z....na Bar wanapenda bia sana na hawafugiki, km unataka awe wa wt muoe, na ukipata ukimwi sema na ugonjwa wa mafua tu utapona, lkn nakushauri ukisha jua ni umeme ogopa ndugu warembo wengi sana hata Preta ametokewa na kijana naamini hii ni nyumba ya wenye kuwaza sawa sawa utawapata, tangaza nia ya kweli, lkn kama unataka kuwa kama Samson wakutoe majicho endelea, labda ni changu wa waziri wa mambo ya nanihi, ukimuoa ujuwe lazima aendelee kutumikia ajira yake ya zamani, kama hutaki endelea, lkn wako wengi sana humu warembo na hawajiuzi, achana nae dogo utapotea.
Jamani lile changu sasa linanipeleka puta sasa najuta
Sasa hvi limegeuka mbogoPole sana, limekufanyaje? Ni vizuri iwapo umeona kabla hajawa mkeo ili ukimbie mbali sana na usirudie tena!
Asante sana broUsioe changudoa huku unajua unaoa changu! Oa mwanamke mwenye maadili, ikiwezekana uje kugundua baadae kwamba alishawahi kuwa changu. All the best, Mwenyezi Mungu akutangulie katika maamuzi yako.
,duh,huo ukoleaji vipi umepewa 0713 nn??