Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Kabla ya tarehe 17 sept. ulitumia ID gani na avatar ipi? Hii miezi unayoitaja ulikuwa hujawa member, ungewezaje kutuma post? Isije na wewe ni mwongo vile vile. Umember una Week, kupata mchumba mieze kadhaa, wapi na wapi?
Kuna watu weng sn hum sasa nikwambie,mtu mmoja ana ID hata 3 au 4,hivi unafikiri hata ww hiyo id uloweka ni jina lako halisi?

Huku hakuna limit ya kuwa na Id hata 10 unakua nazo na wengi unaona kibao kumbe mtu mmoja yuleyule
 
Laiti ungekuwa unajua mtu unayenwambia hayo ni mtu ambaye si wa rika lako Hilo, na tumeyapitia yote hayo, so ninawapeni ushauri tu vijana,Mimi si wa level yako. Ila kama utachukua ushauri chukua, kama unaacha acha.

We sio wa rika langu kiumri?kama ni kiumri bas umechelewa sana kuanza kutafuta mchumba mtandaoni hayo mambo tumeyaacha miaka 4 iliyopita we hadi saiv unayo? Na kama unayo usiogope kugharamia maana mtaani kimekosekana na vipo vya bure huku mtandaoni lazma ugharamie,alaf cha ajabu umechagua cheupe umemwacha mweusi,ulitegemea ukimpata weupe wake nan ata umaintain kama sio ww..tusipende mtelemko wanaume,mnapigiana picha mpo ofcn,sa unafanya kazi ili iweje,kama una majukumu mengine bas baki njia kuu..ndio maana hatuishi kuchagua wanawake kwa kuchunguza yupi ana maisha mazuri ili nayeye akuhudumie,kwa taarifa yako mwanamke anaweza akawa na kazi nzuri na usionje ata shng 10 yake,inawezekana chaguo lako halikuchangiwa na rangi tu,hata picha alizokua anakutumia yupo kwenye supermarket yao ukawa unaimagine ni yake kwamba utakua unafungashiwa vifurushi vya bure bure..cha msingi nenda badoo utawapata cheap ambao girls hawana mizinga,maana ata fb huwezi kupata kama mbahili kiasi hichi..

no hard feelings.
 
Hakuna utata hapo mkuu...
Unaweza kuta kajamaa kalikua kakimtumia babe ake mapicha ya viwanja vikali, huku akitupia Pizza, bagga nk.
Waweza kuta jamaa alipiga picha kwenye maegesho ya magari, kisha akamtumia babe picha akiwa pembeni ya Ferrari.
Napata wasiwasi sana kwamba jamaa alijipaisha sana kwa babe kipindi cha kutumiana mipicha
Show off!!!zinamponza!
 
Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Tapeli wa wazi wazi ilikuwa haitaji ata ushauri kujua ili.hakuna make apo.
 
Bodaboda anasema hajawahi kupanda na huko aliko ziko mbali ila ana namba za taxi dreva tu
Nyambafu zake huyo tapeli ,hivi kweli Tanzania hii kuna kibinti ambacho hakijawahi kupanda bodaboda?.

Jibu ni kwamba hayupo wote walishapanda bodaboda,kwanini akudanganye sasa ili akuibie .piga chini huyo
 
Kuna watu weng sn hum sasa nikwambie,mtu mmoja ana ID hata 3 au 4,hivi unafikiri hata ww hiyo id uloweka ni jina lako halisi?

Huku hakuna limit ya kuwa na Id hata 10 unakua nazo na wengi unaona kibao kumbe mtu mmoja yuleyule
Unaweza kuwa na ID nyingi lakini unapopresent issue kwa ID inayokushtaki hatuangalii zile ulizobana, tunaangalia uliyotumia ndo inakushtaki. Wewe mwenyewe kwenye maelezo yako unavyojibu wanaokuuliza, yaonekana ni mgeni kabisa jijini na yawezekana ndo umeanza kazi. Kuwa mkweli kama unavyodai picha zako za kanisani. Kanisani mnaenda kusali au kuchukua ukodack?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom