fabivic
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 227
- 123
- Thread starter
- #101
Kwa kipindi hiki cha digital kuna mwanamke utamtumia picha unakula ugali na mrenda halaf aendelee na wewe kwl,kama unavyojua watoto wa kike hupenda kuoneshana pcha za wachumba zao,anaanzaje kuonesha jamaa lake linapiga matonge kwa hapa mjini ni ndoto za alinachaHakuna somo wala fundisho ulilo toa kwa huyo mdada kwa style hii aiseeee.....
Kwanza naweza sema umemuaibisha, na yawezekana sana wewe ndie chanzo hasa cha kujikweza na kujipaisha, na huku ukimtumia mapicha ya viwanja vikali na mapozi ya bei kubwa.
Wanaume wenzio hua tunaenda kama tulivyo, na hata picha hua tunatuma za kawaida, hata ikibidi unatupia moja unakula ugali na mlenda, nyingine uji na viazi, na hata ikibidi unatupia nyingine ukiwa unaendeshaswala.
swala.