gud coz ungedondokea puaNishaachana nae tyr
Umejuaje??Huyo sio mtu ni janga la maisha
na wameachana kimtandao mapenzi ya mitandaoni yana raha ni bora niende hata pale sinza afrika sana niopoe dada poa awe mke kuliko mtandaoniulimpata jf? amini nakwambia akiiona hii post...itakuwa hatari kwa afya yako
MIMI BINAFSI SITUMI HATA SHINKUMI....TUKIONANAN LABDA NDO NAWEZA MPA HIYO HELA.....TENA KWA HIARI N AKWA MIMI HAIFIKI 50Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!