Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Huyo ni muhuni wa kawaida kabisa, hakuna mchumba wa kipuuzi namna hiyo. Huenda huyo ni malaya wa kawaida sana wa mtaani.
Msichana anayetaka kuolewa hawezi kuwa na hizo swaga. Never.

Angekuwa ni muungwana, angetaka kuja kwako hata kwa kutembea kwa miguu na angefika salama kabisa.
Mwanamke aliyependwa na akatamani kuolewa na wewe huwa hahesabu gharama ya kukufikia popote ulipo.

USHAURI WANGU.
Mfuate huko huko kwake alipo na muonane.
 
Ww unatumia kigezo kipi kujua kuwa mlokole...au ndo hzo picha mnazotumiana???
1...kumbuka hapa ni mjini watu wapo radhi kuvaa viatu vyovyote linapokuja swala la pesa
2...ww ulitaka mchumba ili MPENDANE au ili wewe UMPENDE yeye asikupende??...kama jibu "MPENDANE" anashindwaje kutumia nauli yale kwenye daladala ambayo nna uhakika haizidi elf 5 kuja kukuona????

3....kama anashindwa kuja kukuona bila kumpa elfu 50 then ask yourself "what is love???"
4....kuwa makini
5.....there are still more things that are worthwhile to do in a life than love(..bado kuna vitu vingi vya kufanya katika maisha zaidi ya mapenzi)
Hapo mmenifumbua macho jaman nilikua napigwa live
 
Huwezi kupata jibu kupitia Jamii Forums. Humu hakuna anayemjua.

Pia usiweke negative assumptions. Kama hajakudanganya usihisi atakudanganya. Utaonekana wa ajabu mkuu.
Kwa hiyo 50 na uchumi ulivyobana kipindi hiki anaonekana ni mtu wa starehe mno huyo sitamuweza msukuma mimi
 
Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa

Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,

Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,

Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,

Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?

Hapa mjini!
Mkuu huyo kama ndio unataka awe mke itakula Kwako. Moja ya test muhimu ni kama hiyo, haiwezekani mwanamke mwenye busara na kujua maisha atake 50000 just kwa ajili ya Tax. Huyu hata kama ndani Kuna chakula atakwambia baby twende hotel tukale. Watch out
 
Huyo ni muhuni wa kawaida kabisa, hakuna mchumba wa kipuuzi namna hiyo. Huenda huyo ni malaya wa kawaida sana wa mtaani.
Msichana anayetaka kuolewa hawezi kuwa na hizo swaga. Never.

Angekuwa ni muungwana, angetaka kuja kwako hata kwa kutembea kwa miguu na angefika salama kabisa.
Mwanamke aliyependwa na akatamani kuolewa na wewe huwa hahesabu gharama ya kukufikia popote ulipo.

USHAURI WANGU.
Mfuate huko huko kwake alipo na muonane.
Nilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
 
Wanawake wote wanaodai nauli ni matapeli.
Mfano Tsh500 ya daladala anasema nitumie,mwanaume unaamua kutuma Tsh10,000 cha ajabu baada ya kupokea pesa anakuambia nimepata dharura.
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe.
Mi nimeshtuka sn ndo maana nimeona nimwanike hapa na nitawapa jina lake mkae mbali nae
 
We mbahili sana alaf tumia akili..50 kwa ajili ya kupanda taxi?hauna Rafiki yako ana gari uweke mafuta ya 20 umfate..na kumfata unaona nn kama kama ulimtafuta mda wote huo..watu Tunatuma laki mtt anatoka mtwara ambayo nauli 40 tu..tena unampima akili mwenye kujiongeza anatakwambia nauli ya kurudi nnayo bby..mapenzi kamali tu.tuma io ela asipokuja ujue umekosa dem fanya mambo mengine kuliko kujisononesha apa anakuchora tu..au kama unaona shida mfate upunguze gharama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom