Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa
Hahahhhh mtaje Miss
 
mungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
Hasira mtumie yeye sasa akufuate teh
 
kwanini usimfate mbona wanaume mnapenda mambo rahisi sana,kuna mmoja aliniambia eti atachukua chumba hotelini tukaongee humo .kuna watu wanautani sijui roho mbaya? tena yupo humu akinisoma ataelewa
Kumfata hataki kbs
 
Ndo tatizo la wanaume wa jf mkishindwana mnakuja kuanikwa pole yako dada sijui unajisikiaje uko ulipo maskini wanaume wengine sio kulikua na ulazma gani wa kuja kuanikana
Alivyonitukania mama yangu siwez kuvumilia ila sijamtaja jina wala ID yake uzuri so aendelee kuugulia ukouko mi spendi mwanamke wa pesa fastafasta namna hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom