Koh koh kohNilishaomba sana niende hata karibu na geti lao nimwone akasema baba yake ana supermarket nje ya geti anauza humo ni ngumu kumwona
Hapo anakutafuta ili umueleze kisa cha kuweka thread ya kumuhusu humu jamvini...Bora vempire huyo ni zombie kbs ila anisamehe tu
Halaf kuna namba ngeni zimeanza kunipigia mfururizo au ndo yy maana nimemblock

Ila Mkuu Post yako haikuonesha Yeye Anaishi wapi na wewe unaishi Wapi ili tupige hesabu vyema!!! Na pengine nae alikuwa anakupima uwezo wako wa kubargain ili ajue ni mume wa aina gani huoni hapo pia umeshindwa?![]()
![]()
shida hiyo naish mbez
Mkuu.....
Kama ingekua mimi ndio wewe, basi kwa style hii ningekua nimeanzisha thread nyingi sana kuhusu wadada wa humu Jf.
Kiukweli haujafanya poa sana, kama kweli ulimpata huyo mdada humu Jf, hapakua na haja ya kuja kuanzisha uzi wa hovyohovyo namna hii aiseeee.... hii inaonyesha jinsi ulivyo na ubongo wa kuku, maana issue ndogo kama hiyo umeshindwa kuimaliza mwenyewe hadi uje uanzishe uzi humu..![]()
![]()
Sasa ukiweza kumiliki mwanamke ndani, si ndio utakua unashindwa tatua matatizo ya ndani na kisha kuyaleta humu jamvini kila kukicha..![]()
![]()

Vijana wa kisasa, mnapenda sana kulalamika aiseeee.....Mi mwenyewe naishi kwa kubahatisha yan 50 nitume nauli tu? Kula bado,kurudi bado si majanga hayo
Unachosema ni sahihi maana mpaka dakika hii nishapokea text za matus kama 112 kutoka namba tatu tofaut na anadai ni mlokole hivi kwann na mimi nisimharibie yan mpaka ananitukania mama yangu kbs asee siwez kuvumiliaNdoma mim mambo ya mitandao tuishiage tu kuchat,haya mambo ya kudharirishan humu hapan kwakweli,mimi nafikiri kulikuw hakun haja ya kuomb ushauri sbb ushaona ni kombora,na kingin usha mbrck sasa maamuz ushaya fanya mwenyew lbda uje na thread ya kutushaur kwa mambo uliyokuta nayo,ndoman huwa na kwepa san inbx,mpk nikupe namb yang ujue nimekuheshim sana
Nilipo soma hiyo namna ya kuandika, nikajiridhisha kwamba huyu mleta uzi ni mvulana.."Moyo una 6" nikajua moyo wako una 4

Laiti ungekuwa unajua mtu unayenwambia hayo ni mtu ambaye si wa rika lako Hilo, na tumeyapitia yote hayo, so ninawapeni ushauri tu vijana,Mimi si wa level yako. Ila kama utachukua ushauri chukua, kama unaacha acha.Hiyo nimekwambia wewe kwa kukuonea huruma unvyojiingiza kwenye mapenzi bado ujajipanga hata 50 inakusumbua maskini ya mungu na ushamblock mtt wa watu..nitumie io namba mimi..
Nilipo soma hiyo namna ya kuandika, nikajiridhisha kwamba huyu mleta uzi ni mvulana..![]()
![]()
![]()
mzee wa Ushirombo. Mambo ya mwandiko hayo.ulimpata jf? amini nakwambia akiiona hii post...itakuwa hatari kwa afya yako





taja ID yake na usipomtaja tunakugeuzia kibao humuUnachosema ni sahihi maana mpaka dakika hii nishapokea text za matus kama 112 kutoka namba tatu tofaut na anadai ni mlokole hivi kwann na mimi nisimharibie yan mpaka ananitukania mama yangu kbs asee siwez kuvumilia
Wanatumia kimvuli cha mungu kukwepa maovu yao,usimjibu jibu la mjinga ni kumkalia kimya,yote hasira y elfu 50,alafu kingine mapenz ya social ntwrk kudumu asilimia chache,nafikiri ungekuwa n subira tu ungepata uyo unayemtaka,lkn kwa humu kaka yangu utajichosha ishia tu kuchat nao maan kila mtu ana tabia yake,japo wote sio wabayaUnachosema ni sahihi maana mpaka dakika hii nishapokea text za matus kama 112 kutoka namba tatu tofaut na anadai ni mlokole hivi kwann na mimi nisimharibie yan mpaka ananitukania mama yangu kbs asee siwez kuvumilia
Vijana wa dot com hawa aiseeee....![]()
![]()
![]()
mzee wa Ushirombo. Mambo ya mwandiko hayo.

Bora iwe hivo,tunatofautiana sn kiuchumi,kama huwa unatumaga 50 ni ww lkn mimi siwez maana huo uwezo sina kama naaibisha pia haileti doa llt kwako lkn nilitaka nitoe somo kwa huyu bint asirudie kupenda pesa upendo hanaVijana wa kisasa, mnapenda sana kulalamika aiseeee.....
Ninyi ndio hasa mnao shusha heshima yetu wanaume humu Jf