moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
ni wiki moja na siku moja tangu umeingia, sasa tueleze ulimpata vipi..?wiki tatu hazijakamilika, tangu tar 17 sept 2016
ni wiki moja na siku moja tangu umeingia, sasa tueleze ulimpata vipi..?wiki tatu hazijakamilika, tangu tar 17 sept 2016
Alafu kinajiekiti matawi ya juu hakipandi bodaboda cha ajabu kutananacho sasa utakikuta kimechoka,hakina shepu sura utadhani kinatumbuliwa jipu.Nyambafu zake huyo tapeli ,hivi kweli Tanzania hii kuna kibinti ambacho hakijawahi kupanda bodaboda?.
Jibu ni kwamba hayupo wote walishapanda bodaboda,kwanini akudanganye sasa ili akuibie .piga chini huyo
Nakubali wewe ni mtu mzima zaidi yangu,ujana maji ya moto unafaham hasa muda wa kuoa unafikiri kipindi hata ww unataka kuoa ulipata mwanamke mmoja tu na huyo ndo ukaoa? najifunza vitu vingi kwako huenda ulioa umri umeenda sana ndo maana mambo kama haya hayajakutokea yan umeingia direct tu ktk ndoa maana mda huo hata jf haipo so usinilaum nimekurupuka ni watu wengi wanapatana mitandaoni na kutengeneza familia bora,ila ukipata mcharuko kama huyu ndo hapo maswali yanaanza kuja kichwani,expense ya nauli tu saiv ni 50 na akivaa pete je itakuaje,We sio wa rika langu kiumri?kama ni kiumri bas umechelewa sana kuanza kutafuta mchumba mtandaoni hayo mambo tumeyaacha miaka 4 iliyopita we hadi saiv unayo? Na kama unayo usiogope kugharamia maana mtaani kimekosekana na vipo vya bure huku mtandaoni lazma ugharamie,alaf cha ajabu umechagua cheupe umemwacha mweusi,ulitegemea ukimpata weupe wake nan ata umaintain kama sio ww..tusipende mtelemko wanaume,mnapigiana picha mpo ofcn,sa unafanya kazi ili iweje,kama una majukumu mengine bas baki njia kuu..ndio maana hatuishi kuchagua wanawake kwa kuchunguza yupi ana maisha mazuri ili nayeye akuhudumie,kwa taarifa yako mwanamke anaweza akawa na kazi nzuri na usionje ata shng 10 yake,inawezekana chaguo lako halikuchangiwa na rangi tu,hata picha alizokua anakutumia yupo kwenye supermarket yao ukawa unaimagine ni yake kwamba utakua unafungashiwa vifurushi vya bure bure..cha msingi nenda badoo utawapata cheap ambao girls hawana mizinga,maana ata fb huwezi kupata kama mbahili kiasi hichi..
no hard feelings.
Mbona wewe ndo kama fabvic au hii ndo ID yako kati ya zile ulizoficha? Mwanzoni uliongea kipole sasa unakuja na matusi? kama wewe siye mwenye uzi wake, basi usimharibie yeye ana staha.Alafu kinajiekiti matawi ya juu hakipandi bodaboda cha ajabu kutananacho sasa utakikuta kimechoka,hakina shepu sura utadhani kinatumbuliwa jipu.
Tangu uzaliwe hujawah hata kupiga picha upo kanisan au msikitini?,bas mashaka yangu we ni mpaganiUnaweza kuwa na ID nyingi lakini unapopresent issue kwa ID inayokushtaki hatuangalii zile ulizobana, tunaangalia uliyotumia ndo inakushtaki. Wewe mwenyewe kwenye maelezo yako unavyojibu wanaokuuliza, yaonekana ni mgeni kabisa jijini na yawezekana ndo umeanza kazi. Kuwa mkweli kama unavyodai picha zako za kanisani. Kanisani mnaenda kusali au kuchukua ukodack?
ahaaaaHasira mtumie yeye sasa akufuate teh![]()
Tangu umeingia una Wiki moja na siku moja, sasa tueleze ulimpataje.?wiki tatu hazijakamilika, tangu tar 17 sept 2016
Hujui picha zinadistruct attention ya waumini? Kwanza ili iweje, pili unamtangazia nani? Tunaenda kusali na kusikia neno sio kwenye promotion na advert.Tatizo hilo
Hujui picha zinadistruct attention ya waumini? Kwanza ili iweje, pili unamtangazia nani? Tunaenda kusali na kusikia neno sio kwenye promotion na advert.
Hahahhh jf???? Mpaka kesho.....Siwez kumtaja nitakua ndharirisha sn bora aone tu hivi ajifunze kumtaja itakua murder case