Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
alimtukana mama yako ?Alivyonitukania mama yangu siwez kuvumilia ila sijamtaja jina wala ID yake uzuri so aendelee kuugulia ukouko mi spendi mwanamke wa pesa fastafasta namna hiyo
alimtukana mama yako ?Alivyonitukania mama yangu siwez kuvumilia ila sijamtaja jina wala ID yake uzuri so aendelee kuugulia ukouko mi spendi mwanamke wa pesa fastafasta namna hiyo
inibariki kivipi?Njoo nikubariki
Mkumbuke sijataja mtu wala sijataja ID ya mtu humu please tuwe wapole mi nimetukaniwa hadi mamaangu na namba ngeni baada ya kuchelewa kutuma hiyo pesa so msinihukumu mapema ivoKweli kabisa alaf mambo ya kudhalilishana jf ndo yapo sana
Hapa hata mimi sijaelewa!! Alimtukana kwa kumtaja jina au Alisema manebo ambayo hata Wazee wa Forodha hutamka yanayosadikiwa kuwa ni makalialimtukana mama yako ?
tatizo kipato kaka kun amtu elf 50 ni issue wakati wengine ukiomba elf 50 anaongeza na sifuri juu inatumwa laki tano. hapa zimekutana team mbili tofauti man u na jkt ruvu .ni pale jkt ruvu inapoitwa na man u wakacheze uingereza .mechi itakuwepo kweli ila ni majanga kwa jkt ruvu hyo gharama sio?Mmmhhh watu ubinafsi na uchoyo tu what if ukamtumia na kweli akaja????![]()
![]()
Hakuna cha ulokole cku hizi,lipia tu pikipiki.Nimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl
sijui kwa kweliHapa hata mimi sijaelewa!! Alimtukana kwa kumtaja jina au Alisema manebo ambayo hata Wazee wa Forodha hutamka yanayosadikiwa kuwa ni makali
ila mwanaume kama huna hela mjini bwana utaishia tu kulialia na mapenziHataki
Fab njoo ututatulie hili suala hapa kuna kigegezisijui kwa kweli
ila mwanaume kama huna hela mjini bwana utaishia tu kulialia na mapenzi

mkuu mbona unajikanganya inaonekana jamiiforum huna ata wiki tatu,halafu unatuambia ulimpata humu humu jf na umechat nae kama miezi hivi,naomba ulitolee ufumbuzi hili suala..?Nilimpata humuhumu,ila anisamehe tu amegusa parefu mno
Mi ata sina ham ya kumwona tena,alipoona nimechelewa kumtumia pesa akaanza kutuma text za matus hadi kanitukania mamaangu ndo maana wala staki hata kumwona maisha yangu yoteMwambie akifika utalipa. Pia unajuaje kama picha anazo post ni zake labda za rafikiake. Akifika utalipa. Mjini kumbuka