Nimepata mchumba au kombora?

Nimepata mchumba au kombora?

Hapa hata mimi sijaelewa!! Alimtukana kwa kumtaja jina au Alisema manebo ambayo hata Wazee wa Forodha hutamka yanayosadikiwa kuwa ni makali
Kamtaja maangu ktk yale matusi makubwa mno yanayomtaja mwanamke
 
tatizo kipato kaka kun amtu elf 50 ni issue wakati wengine ukiomba elf 50 anaongeza na sifuri juu inatumwa laki tano. hapa zimekutana team mbili tofauti man u na jkt ruvu .ni pale jkt ruvu inapoitwa na man u wakacheze uingereza .mechi itakuwepo kweli ila ni majanga kwa jkt ruvu hyo gharama sio?
Sio kwamba siwez kutuma hiyo pesa,tatizo lililojitokeza ni mimi kuchelewa kumtumia hiyo 50 akajua mi muhuni ndo akaanza kutuma meseji za matus na kunitukana
 
mkuu mbona unajikanganya inaonekana jamiiforum huna ata wiki tatu,halafu unatuambia ulimpata humu humu jf na umechat nae kama miezi hivi,naomba ulitolee ufumbuzi hili suala..?
Mkuu tunaomba ufumbuzi ukishindwa ina maana ni uwongo
 
Wachumba nitaenda kijijini kusiko na taxi wala bajaji huku mjini balaa
Kabla ya tarehe 17 sept. ulitumia ID gani na avatar ipi? Hii miezi unayoitaja ulikuwa hujawa member, ungewezaje kutuma post? Isije na wewe ni mwongo vile vile. Umember una Week, kupata mchumba mieze kadhaa, wapi na wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom