PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.

Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki

Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi

Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua

Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... 😭😭😭🚯
 
Sahihi tatizo lipo kama unavyo sema.

Kimsingi wito wa haki kama zao la amani ni dhihaka kwa kwa waislam wengi. Nitakumbusha hali nchi iliyopitia hapo nyuma. Miaka iliyopita palikuwa na wimbi la vijana kujiunga na vikundi vya kigaidi na kufikiria kufanya vitendo hivyo hapa nchini na kwingineko, sababu kubwa nyuma ya movement hii ni madai ya haki.

Pengine watu wanaweza wasielewe na kujua, ma-sheikh wamefanya kazi kubwa sana kwa miaka kadhaa hapo nyuma kuongea na vijana waache fikra hizo na kwamba amani ya nchi ni kipaumbele kuliko naadhi ya haki wanazo dai! au zinazo koswa.
Sasa leo hii ikitokea wito wa haki kwanza ndio amani ni kama kidonda kinatiwa chumvi hivi.
Ni wewe tena?
Una lipi jipya sasa" Hebu tazama ulivyo juha: "HAKI haiwezi kuwa zao la AMANI" Huo upumbavu usiwe unaniletea mimi

Nilisha kueleza, mtindo wenu wa kutumia maneno kupotosha ni wa hovyo kabisa.

Hayo mengine huko chini sina muda nayo kwa sababu najuwa hakuna lolote la maana kujadili na wewe.
 
Mkuu Kalamu nakubaliana na wewe 💯.

Lazima ifike mahali tuvunje na tuharibu kabisa minyororo ya uoga.

Kukubali kuogopa maana yake kukubali kuendelea kuwa mtumwa.

Katika pattern za uoga tumepata somo kubwa kwamba uoga au hofu havijaweza kutusaidia kwa maana hiyo tumekubaliana sote kwa pamoja kuvunja pattern au minyororo ya uoga.

Kama hatutaweza kujifunza somo hilo hayo mambo yataendelea kujirudia rudia hadi tuyakatae.
Hadi hapa tulipofikia, Samia na Genge lake wamekuwa wakilazimisha kuwatia woga waTanzania ili watawale bila matatizo.
Tukikubali tu kufuata matakwa yao, tumekwisha.

Tulilobaki nalo sasa ni kupambana nao kila hatua; ikilazimu sasa na wao wanatakiwa waanze kuvuja damu waone uchungu wa matokeo yake.
 
Ni wewe tena?
Una lipi jipya sasa" Hebu tazama ulivyo juha: "HAKI haiwezi kuwa zao la AMANI" Huo upumbavu usiwe unaniletea mimi

Nilisha kueleza, mtindo wenu wa kutumia maneno kupotosha ni wa hovyo kabisa.

Hayo mengine huko chini sina muda nayo kwa sababu najuwa hakuna lolote la maana kujadili na wewe.
Lugha hizi za kishamba wont change reality.
 
Your reality is stupidity.
Call them stupid or whatever! hutawawakwepa - reality 1

1763651719509.png
Kam reference yako na model yako ni huku,pia wewe ni stupid - reality 2.

Kam nimekuelewa, nahisi ni mfuasi wa mageuzi anayo pigania Lissu, na kama ndivyo huelewi kinacho piganiwa -Reality 3.

Ahsante
 
Call them stupid or whatever! hutawawakwepa - reality 1

View attachment 3504946Kam reference yako na model yako ni huku,pia wewe ni stupid - reality 2.

Kam nimekuelewa, nahisi ni mfuasi wa mageuzi anayo pigania Lissu, na kama ndivyo huelewi kinacho piganiwa -Reality 3.

Ahsante
Huwa sibahatishi; na nilikwambia katika jibu langu la mwanzo kabisa nililowahi kujibishana na wewe; pamoja na kwamba nilikutahadharisha yatakayo fuata.

Watu wa aina yako huwa sibahatishi kuwatambua; kwa sababu mna njia zenu za kipumbavu sana mnazotumia kujifanya watu wapole na wastaarabu wakati ni watu waovu kabisa.
Mfano mzuri kabisa ni huyo Samia Suluhu Hassan.

Sasa wewe hapa, bado unategemea kweli nipoteze muda na shetani kama nyinyi? hamna hata chembe ndogo kabisa ya ubinaadam ndani yenu. Hivi hii dini au ustaarabu huko mnakoutoa kutuletea hapa hamuoni kuwa mnaltumbukiza taifa kwenye matatizo makubwa?

Ni hivi: Siku zenu zimekwisha. Hata ujipe moyo kiasi gani, hakuna kitakacho wasalimisha.
Tanzania itasimama na heshima yake kamili, hatuwezi kuwa Sudan au Somalia au hizo nchi nyingine mnazotumia kama 'model' yenu ya kujilazimisha kutawala hapa.
 
Uzuri waislamu wengi wao wamewadharau. Wengi wa waliouwawa ni waislamu kuliko hata hao wakristo.
Ni kweli wengi waliouawa ni waislam
Kwa sababu wameingizwa mkenge kipuuzi ndo maana wanafunguliwa vichwa vyao wajitambue..
 
Huwa sibahatishi; na nilikwambia katika jibu langu la mwanzo kabisa nililowahi kujibishana na wewe; pamoja na kwamba nilikutahadharisha yatakayo fuata.

Watu wa aina yako huwa sibahatishi kuwatambua; kwa sababu mna njia zenu za kipumbavu sana mnazotumia kujifanya watu wapole na wastaarabu wakati ni watu waovu kabisa.
Mfano mzuri kabisa ni huyo Samia Suluhu Hassan.

Sasa wewe hapa, bado unategemea kweli nipoteze muda na shetani kama nyinyi? hamna hata chembe ndogo kabisa ya ubinaadam ndani yenu. Hivi hii dini au ustaarabu huko mnakoutoa kutuletea hapa hamuoni kuwa mnaltumbukiza taifa kwenye matatizo makubwa?

Ni hivi: Siku zenu zimekwisha. Hata ujipe moyo kiasi gani, hakuna kitakacho wasalimisha.
Tanzania itasimama na heshima yake kamili, hatuwezi kuwa Sudan au Somalia au hizo nchi nyingine mnazotumia kama 'model' yenu ya kujilazimisha kutawala hapa.
Maneno mengi

Mtu hutoa alicho nacho
 
Ulicho nacho wewe na huyo Samia ni ushetani kwa waTanzania, na tutaukomesha.
Tupo hapa, tutashuhudia ujinga ukidhihirika.

Ama maneno ya kipumbavu sina muda nayo. Sina haja na kuendeleza michezo yenu hio ya ki-shamba nakupa ushindi ktk haya "mtakatifu".
 
Tupo hapa, tutashuhudia ujinga ukidhihirika.

Ama maneno ya kipumbavu sina muda nayo. Sina haja na kuendeleza michezo yenu hio ya ki-shamba nakupa ushindi ktk haya "mtakatifu".
Ni moja tu lililo wazi sasa hivi. Samia na Genge lake hawana nafasi ya kuitawala Tanzania. Take it or leave it.
 
Tupo hapa, tutashuhudia ujinga ukidhihirika.

Ama maneno ya kipumbavu sina muda nayo. Sina haja na kuendeleza michezo yenu hio ya ki-shamba nakupa ushindi ktk haya "mtakatifu".
Ni mmoja kati ya watu wapuuzi kabisa niliowahi kujibishana nao humu JF.
 
Hii timu Msoga na timu Zenji ni washenzi hawajielewi wanaanzisha chokochoko zao huku tunawaandalia dawa yao hiyo ya tarehe 9/12 Yan hii haijaisha mpka iishe
 
Sitafuti ushindi hapa; kama unataka ushindi jipe mwenyewe.

Kwa hiyo unakuja hapa JF kutafuta ushindi wa kuwaua waTanzania? Ninaposema nyinyi ni mashetani haswa sikosei.
Endelea kutoa uliyo nayo
 
Back
Top Bottom