PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Hapana. Usiogope.

Acha inyeshe tujue panapovuja. Hii itatusaidia kuziba palipo na uharibifu.

Haya mambo yamekuwa yakiendelea chini kwa chini, na sasa imebidi yabubujike kila mtu aone tulipofikia kama nchi.
Sasa mabomu au kuchinja kukitokea hakuna tena wa kuuliza imekuwaje tena.

Ukweli ni kwamba haya mambo tulijuwa yapo, lakini unafiki wa kiTanzania wa kujifanya tu sisi ni tofauti na wengine ndio umetufikisha hapa.

Sasa ni kichaa gani atakayeweza kusema hatuna tatizo hili hapa kwetu?
 
Hatuhitaji kudra za mtu yeyote kwenye hili, Tunahitaji kueleweshana watu wa dini zote adui yetu ni nani….

Wanaotetea maovu wote tuwape jina kuwa ni WASHIRIKI wa wauaji, watekaji, wateseji, wafiraji, watengeneza kesi za uongo, wezi, wala rushwa, wabadhilifu wa mali za umma na mabaya yote yanayofanywa na wale tunaowapigia kelele, na pia tuwaulize zile kura 31M zilitoka wapi.

Kwa uchache hayo ndio madai ya wananchi, kama dini yao inafundisha haya na waseme sasa, wajipambanue waziwazi , Wawe wakweli wao ni akina nani, waache kuitumia dini kutafuta uungwaji mkono.

Watu wa dini waongo vile! Dini yao inasemaje kuhusu uongo?
 
Na kwasababu ni ngumbaru pro max wakumbushwe kuwa kauli zao zitatumika hapo baadae kama rejea.

CCM wanayoitetea sio ajabu ikaja kuwakana na kuwatoa kafara.

Waelimishwe kuwa jinai ya kilichotokea 29/10 haifi kwa namna yoyote ile, na ipo siku wahusika wote watasimamishwa kizimbani kujibu.

Viongozi wamekuwa makini na kauli zao tangu upepo ubadilike, wamebaki wao mahayawani wanaropoka hovyo kuwa tuta? Tutachinjana????

Muelewesheni huyo shehe-biriani kuwa watu wamesema wataandamana na hawajasema watachinja mtu, kwahiyo kauli ya kuchinjana haifanyi kazi katika muktadha huu, tunaichukua kuwa amesema atachinja watu.
 
Hapana. Usiogope.

Acha inyeshe tujue panapovuja. Hii itatusaidia kuziba palipo na uharibifu.

Haya mambo yamekuwa yakiendelea chini kwa chini, na sasa imebidi yabubujike kila mtu aone tulipofikia kama nchi.
Sasa mabomu au kuchinja kukitokea hakuna tena wa kuuliza imekuwaje tena.

Ukweli ni kwamba haya mambo tulijuwa yapo, lakini unafiki wa kiTanzania wa kujifanya tu sisi ni tofauti na wengine ndio umetufikisha hapa.

Sasa ni kichaa gani atakayeweza kusema hatuna tatizo hili hapa kwetu?
Mkuu Kalamu nakubaliana na wewe 💯.

Lazima ifike mahali tuvunje na tuharibu kabisa minyororo ya uoga.

Kukubali kuogopa maana yake kukubali kuendelea kuwa mtumwa.

Katika pattern za uoga tumepata somo kubwa kwamba uoga au hofu havijaweza kutusaidia kwa maana hiyo tumekubaliana sote kwa pamoja kuvunja pattern au minyororo ya uoga.

Kama hatutaweza kujifunza somo hilo hayo mambo yataendelea kujirudia rudia hadi tuyakatae.
 
wanatoa vitisho wasivyoweza kuviishi na bahati nzuri zaidi waTanganyika wanasimamia haki bila kujali upuuzi wa dini yoyote..Damu za vijana hazitoenda bure
Inatia moyo sana mkuu '(nani vile)'mwehundama', kuwa na utulivu wa akili wa kuandika maneno hayo mazito katika mstari na nusu.

Hakuna sababu ya kuwa na hofu na hawa walevi wa imani potofu.
 
Mkuu Kalamu nakubaliana na wewe 💯.

Lazima ifike mahali tuvunje na tuharibu kabisa minyororo ya uoga.

Kukubali kuogopa maana yake kukubali kuendelea kuwa mtumwa.

Katika pattern za uoga tumepata somo kubwa kwamba uoga au hofu havijaweza kutusaidia kwa maana hiyo tumekubaliana sote kwa pamoja kuvunja pattern au minyororo ya uoga.

Kama hatutaweza kujifunza somo hilo hayo mambo yataendelea kujirudia rudia hadi tuyakatae.
Hawa wanao payuka hovyo hovyo sasa hivi wanafikiri waTanzania watatishika. Lengo lao ni kutia hofu watu wengine.

Na kwa bahati mbaya tukiachia hofu ienee, nchi hii itaharibika sana.
 
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.

Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki

Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi

Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua

Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... 😭😭😭🚯
Wasiwasi ndio akili. Hongera kwa kunusa hatari MKUBWA Mshana. Hata hivyo hiyo kete ya udini ukisoma pattern wakina Sheikh Ponda wanaidilute kibabe sana🤣🤣🤣🤣

Naiona dhamira ya dhati ya kuikomboa nchi hii

Hakuna mshindi kwenye kushindana na WAKATI
 
Usigope! Itafeli tu hata hii, uzuri genzee hawaamini kwnye hizi dini zilizokuja kwa majahazi naintini kweusi! Ni wazee tu ambao nao wanaishia sasa, kinakuja kizazi kipya kabisa kisichoamini kwenye mauongo haya!
 
Na hili ndiyo anguko kuu la Samia Suluhu Hassan kwani ni hao mashekhe wake vilaza aliowapa bahasha ndiyo wanamuunga mkono katika udhalimu wake dhidi ya Watanganyika. Waislam wenye kujitambua wamekataa kutumika na kikundi cha mafisadi wachache wakiongozwa na Samia na Kikwete
 
Usigope! Itafeli tu hata hii, uzuri genzee hawaamini kwnye hizi dini zilizokuja kwa majahazi naintini kweusi! Ni wazee tu ambao nao wanaishia sasa kinakuja kizazi kipya kabisa kisichoamini kwenye mauongo haya!
Wana akili zao kabisa na ulimwengu wao wa tofauti
 
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.

Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki

Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi

Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua

Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... 😭😭😭🚯
Hii silaha ya udini waliiunda na kuifanyia majaribio kwa CUF kipindi kile cha kuanza kwa vyama vingi na kufanikiwa kuisambaratisha.

Ni kweli kwamba suala la imani likitumika vibaya lina athari mbaya sana.
Ila nikuhakikishie Mshana, sasa hivi tuna vijana wasomi(bila kujali dini zao), waelewa na wanaojua wanataka nini.

Hivyo , nina imani kubwa kwamba huu upepo wa UDINI utapita na mambo yataendelea kama yalivyopangwq.
Kumbuka, Jambo lolote linalotokea kwa kizazi kimoja ni funzo kwa kizazi kingine.
 
Mshana Jr usiogope hata kidogo, usiogope vita unapopigana na Mtu asiye na akili... Hawa hawana akili.

Mgogoro wa Dini unakuwa una nguvu pale unapokuwa na msingi wa kijamii ila sio hivi wavyofanya.

Pia mgogoro wa Dini inabidi uwe ideological zaidi
upo sahihi hao ni vibaka tu wale wanaowaf¥raga watoto wa madrasa,mashehe wa kweli wameshajitokeza na kusema uislamu ni dini ya haki.
 
Hii silaha ya udini waliiunda na kuifanyia majaribio kwa CUF kipindi kile cha kuanza kwa vyama vingi na kufanikiwa kuisambaratisha.

Ni kweli kwamba suala la imani likitumika vibaya lina athari mbaya sana.
Ila nikuhakikishie Mshana, sasa hivi tuna vijana wasomi(bila kujali dini zao), waelewa na wanaojua wanataka nini.

Hivyo , nina imani kubwa kwamba huu upepo wa UDINI utapita na mambo yataendelea kama yalivyopangwq.
Kumbuka, Jambo lolote linalotokea kwa kizazi kimoja ni funzo kwa kizazi kingine.
 
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.

Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki

Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi

Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua

Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... 😭😭😭🚯
NILIWAAMBIA WATU NA MIMI NIKAITWA MDINI .....VITA YA UDINI INAPAMBANWA BILA YA KUPEPESA MACHO ...KAMA KUNA MUISLAMU ANAITUMIA NA WEWE ITUMIE ...PIA UKWELI NI KWAMBA UDINI WA MASHEKH NI UPUMBAVU KWA SABABU HAO MASHEKH WAMESIMAMA DHIDI YA KWELI NA HAKI NDIYO MAANA WANAUCHUNGU SANA BAADA YA KUONA WAMEPUUZWA HADI NA WAISLAMU WALIO MITAANI KWA ASILIMIA 90% ...KAMA HAO MASHEKH NA WAISLAMU WA CCM WANGEKUWA WANAKUBALIKA BASI SAMIA ANGEPIGIWA KURA KWENYE MIKOA YENYE WAISLAMU WENGI ....LAKINI UKITUMIA AKILI KITENDO CHA NCHI NZIMA KUTOKUPIGA KURA KWA ASILIMIA 95% NI USHAHIDI KUWA HIYO KETE YA UDINI NI HASARA KWAO NA FAIDA KWA WASIO WAISLAMU....LEO HII MSIMAMO WA WASIO WAISLAMU UNAUNGWA MIKONO NA ZAIDI YA ASILIMIA 95% YA WAISLAMU WOTE NA UNAUNGWA MIKONO NA ASILIMIA 65% YA WAISLAMU WENYE KWENDA MISIKITINI ....HII MAANA YAKE SAMIA NA WAHUNI WENZIE WAMEFELI KWA ASILIMIA 99%
 
Hii silaha ya udini waliiunda na kuifanyia majaribio kwa CUF kipindi kile cha kuanza kwa vyama vingi na kufanikiwa kuisambaratisha.

Ni kweli kwamba suala la imani likitumika vibaya lina athari mbaya sana.
Ila nikuhakikishie Mshana, sasa hivi tuna vijana wasomi(bila kujali dini zao), waelewa na wanaojua wanataka nini.

Hivyo , nina imani kubwa kwamba huu upepo wa UDINI utapita na mambo yataendelea kama yalivyopangwq.
Kumbuka, Jambo lolote linalotokea kwa kizazi kimoja ni funzo kwa kizazi kingine.
View attachment 3504620
 
Mshana Jr tumekubaliana hatutanunua wala kukubali kuuziwa tena bidhaa inayoitwa hofu, uoga wala wasiwasi.

Next time ukiandika Uzi wako usitumie neno kuogopa tafadhali.

Moderator na wote tukubaliane ilitokea yeyote anauza na kutangaza bidhaa ya hofu au uoga kama ni platinum member aonywe akikaidi avuliwe heshima ya kuwa platinum member. Na kama ni expert member ifanyike vivyo hivyo abakie kuwa member tu.
Next time ukiandika Uzi wako usitumie neno kuogopa tafadhali.🥺🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Back
Top Bottom