Ndio maana tunakwambia wewe huna akili hata chembe, kwa sababu unapenda kuimanisha akili yako kinyume na uhalisia ndio uhalisia wenyewe.Bakwata haikuundwa na serikali kueneza udini, wenye kufanya hilo mnawajua vyema au hamtaki kuwaona.
Hao Bakwata ambao hata masaa 72 hayajaisha wametoka kuwatishia wakristo kwamba watawachinja chinja kama wakithubutu kuandamana kwa sababu ya kumlinda muislam mwenzao samia ndio unasema kwamba sio wadini? Na badala yake unataka kuwaone TEC ndio wadini?
Hivi nchi hii kuna watu wenye chuki za kidini na wako tayari hata kwenye vita ya kidini kama nyie waislamu hasa mnayoisapoti hiyo BAKWATA?????
Hili kuonesha kwamba nyie watu ni wadini wakubwa kwanzia huyo raisi wenu mwenye akili ndogo, angalia amewatuma wale mashekh waje kutoa vitisho bila kujali athari zake hata kwa siku za mbeleni huko...
..Raisi mwenye akili timamu hawezi kutumia approach kama hiyo kwa magumu anayopitia.
...inahitaji uwe mwendowazimu kuitetea hii serikali ya kishetani ambayo kadri inavyojaribu kujisafisha ndio inazidi kuharibu, angalia sasa hivi imeanza kuteka wafanya kazi wa mochwari kule ambako video za maiti zilivuja, sasa hiyo ni serikali au genge la wapumbav tu walioshika madaraka makubwa na hawajui hata kuyatumia ipasavyo?
Ukiwa kama islamic extremist usiyetumia akili hata kidogo endeleaa kuitetea hii serikali inayonuka damu kwa hoja za kipumbav za kulinganisha maovu kwa maovu...japo hata hayo maovu yenyewe hakuna serikali inayoifikia hii ya samia.