Mshana kwanza kuna distortion ktk kauli aliyo toa huyo bwana, listen carefully to what he said. Japo kimsingi amesema maneno ya makosa, hivyo pengine hakuna tofauti ya msingi.
Lakini kama unataka msimamo wa waislam kuhusu kauli hio au jambo kama hilo sikiliza maneno ya viongozi rasmi wa waislam hapo chini, specifically akijibu swali kuhusu kauli hio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.