ungetoa ulio nao kwanza, kabla yaa kuvumiliaSina shaka yoyote umekwisha nielewa; huwa sina uvumilivu na upumbavu.
ungetoa ulio nao kwanza, kabla yaa kuvumiliaSina shaka yoyote umekwisha nielewa; huwa sina uvumilivu na upumbavu.
Hadi sasa huelewi yoote niliyo kwisha kueleza. Wewe ni kilaza; huna uwezo wa kuelewa unacho elezwa?ungetoa ulio nao kwanza, kabla yaa kuvumilia
Ahsante for your display usiku huu.Hadi sasa huelewi yoote niliyo kwisha kueleza. Wewe ni kilaza; huna uwezo wa kuelewa unacho elezwa?
Unataka nirudie mara ngapi?
"display" iko wapi. Hujui maana ya hilo neno?Ahsante for your display usiku huu.
Bakwataccm ndiyo wanaongea udini na propaganda mbalimbali za udini, Bakwataccm ndiyo Sumu ya Amani Haki na katiba mpyamtu anaetumia udini kuchochea vurugu hana akili,
anaewatumia hao mbwa hana akili
Kwa Tanzania udini sidhani kama ni kete, tuko very well intergrated, tuna dini tofauti lakini tunaheshimiana sana. Kwa Tanzania wamechelewa. Hii ilikuwa Siraha miala ya 70 na 80 hukoNimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua.. Na kilele cha mauaji kikawa tar 29.10. Mpaka tar 3 November 2025.
Mpaka hapo wakazani wameshafanikiwa kuuza hofu.. Lakini wali ndio kwanza kama wamechokoza nyuki
Pengine walifadhiliwa mabilioni ili wakirudi kwenye power walipe fadhila kupitia rasilimali za wote..Sasa kitisho ni dhahiri. Wanaona wazi hawana pa kuchomokea
Kulinda maslahi yao na ya wafadhili wao ni wao kubakia kwenye power.. Hii ndio salama yao
Waliokwisha onja utamu wa maliasili lukuki za taifa hawako tayari kupokonywa tonge mdomoni.. Wako tayari kufanya lolote na chochote alimradi tu waendelee kuzifaidi
Hii kete ya udini ndio kete ya mwisho na hatari kuliko nyingine zote! Wameanza kea kasi kubwa na ya ajabu kupenyeza hiyo sumu kwenye jamii kupitia wachache wasiojutambua
Tunahitaji kudra kubwa za Mwenyezi Mungu tusije kufika wanakotaka kutufikisha.... 😭😭😭🚯
Mkuu Ombea amani vita isikie tu kwenye vyombo vya habari.Mi siogopi vita, wacha ije tuianze mapema tuimalize mapema.
Vita ya dini mmewahi kuiona wapi dunia hii?
Vita ni vita haipigwi dini bali watu, tuanze kama ipo.
Itatufungulia mlango kupigania na mengine.
Vita inaleta heshima. Bila vita kelele hazitaisha.Mkuu Ombea amani vita isikie tu kwenye vyombo vya habari.
Hapo Oktona tu wiki nzima hata mashine hazidindi. Ni hatari haifai kabisa
Kelele huko Sudani na Congo zimeisha? Ila Rwanda na Uganda kumetulia sana. 😂😂Vita inaleta heshima. Bila vita kelele hazitaisha.
Huo ni ukweli, lakini si bakwata peke yake.Bakwataccm ndiyo wanaongea udini na propaganda mbalimbali za udini, Bakwataccm ndiyo Sumu ya Amani Haki na katiba mpya
Huyu jamaa Ajuae_26 eti ndio miongoni mwa wale vijana wa kiislamu ambao wanategemewa kumtetea Samiya kwa hoja na kuwashawishi watu waone samiya anaonewa.Ni mmoja kati ya watu wapuuzi kabisa niliowahi kujibishana nao humu JF.
Kwa hiyo kumbe unakili BAKWATA ni taasisi inayokumbatia na kueneza chuki za kidini sio?Huo ni ukweli, lakini si bakwata peke yake.
Ni bora bakwata inajulikana wazi kuliko wale wasio fahamika
Sudan na Congo hawana vita ya kidini, Sudan zaid ilikuwa ubaguzi wa rangi.Kelele huko Sudani na Congo zimeisha? Ila Rwanda na Uganda kumetulia sana. 😂😂
Usipoteze muda kujadili mtu/watuHuyu jamaa Ajuae_26 eti ndio miongoni mwa wale vijana wa kiislamu ambao wanategemewa kumtetea Samiya kwa hoja na kuwashawishi watu waone samiya anaonewa.
Hoja zake zenyewe sasa, ndio kama hivyo za kuhalalisha ushetani wa samiya kwa kutaja taja upuuzi uliokuwa unafanywa na Magufuli.
Yaani ni kama vile anatulazimisha kutukubaliane na ushatani wote unaofanywa na samiya kwa sababu hata mtangulizi wake pia alifanya, sasa ni akili hizo au upumbavu tu?
Kuna post hapo alalamika kwanini Tec walisapoti hoja ya maridhiano baada ya uchaguzi wa 2020 ila sasa hivi wako kinyume na maridhiano anayotaka samiya?
Yaani anashindwa hata kuona kuna utofauti mkubwa sana wa hizo scenarios mbili, hivi uchaguzi wa 2020 ulituacha na vidonda vikubwa kama huu wa mwaka huu?
Unawezaje kusapoti maridhiano kwa serikali ambayo imeua watu zaidi ya 10,000 wasio na hatia? Si ni wehu huo?
Huyu Ajuae_26 hana tofauti na wale wapumbavu wenzie wa juzi waliosema watachinja chinja watu hiyo tarehe 9 december, ni muislam mwenye akili mbovu sana ambaye anaona kama adui mkubwa wa taifa hili ni TEC na sio maovu yanayofanywa na serikali ya samiya
Hakuna taasisi ya dini isiyo tumiwa na CCM, ndicho nilicho sema.Kwa hiyo kumbe unakili BAKWATA ni taasisi inayokumbatia na kueneza chuki za kidini sio?
So unachotaka ni kwamba hata hao wengine wajitokeze hadharani na kuanza kuwashambulia BAKWATA kwa hasira hili ngoma iwe droo na nafsi yako ifurahi eti?
Wewe jamaa huna akili kabisa na kama una familia, basi familia yako ina baba wa ovyo sana.
Wapuuzi sana wanatumia mbinu bila kuangalia madhara wanayoweza kuleta, hivi hawa kikichafuka wataweza kubeba ndugu zao wote wa ukoo wao wakaishi nao huko mbali? Akili za hawa watu hata Wanyama wana nafuu
Usigope! Itafeli tu hata hii, uzuri genzee hawaamini kwnye hizi dini zilizokuja kwa majahazi naintini kweusi! Ni wazee tu ambao nao wanaishia sasa, kinakuja kizazi kipya kabisa kisichoamini kwenye mauongo haya!