Sie kwetu tupo na dada watatu....Wee jamaa daah?? Una dada mkuu au kwenu mmezaliwa midume tu?
Sie kwetu tupo na dada watatu....Wee jamaa daah?? Una dada mkuu au kwenu mmezaliwa midume tu?
Yani umewaacha wanawake wengine ,,hasa huyo uliemdanganya unamuoa akubebee mimba amebeba mimb yako umemkataa na kumuacha na mimba yake analia tu umeenda kuoa single mother ,,siyo mda utakua kichaa ww malipo ni hapahapa dunianj





kumbe upo na huku,,,, nisamehe kwa niaba ya wana jf wote

. na nnabadilisha ID kutoka sasa.Kwani upend upi ninaokuambia yani ile simple love mzee equal treatment na mwanao usimtenge kama unampango wa kuzaa naesiwez penda mtoto so damu yangu labda ntampenda kinafiki tu na mi so mnafiki
Wa kwenye ndoa wanaturoga na michepuko wanaturoga dah kuwa mwanaume ni neema kubwa saanaaHii ya kuroga sio single mother pekee ake, hata hawa ambao hawajaolewa ila mile zimesogea, wakiangalia mapenzi ya kwenye TV basi wanatamani iwe hivyo hata kwake basi wanaona mbinu pekee nikuturoga tu. Daaah![]()
Wa kwenye ndoa wanaturoga na michepuko wanaturoga dah kuwa mwanaume ni neema kubwa saanaa
Haswaaa! 


Kitu chochote kikizidi kinakuwa unafiki, hata upendo ukizidi unakuwa unafiki. Penda pale upendo wako ulipofikia. Mapenzi hayalazimishwi.Moende na mwanae tena mpende kuliko yeye utakuja nishukuru,
What are you trying to justify yaani?Kuna uzi uko humu walolelewa na mama tu wametitirika balaa hadi huruma mama zao walivyopigana hadi wamefika hapa..ajabu humu wanachamba na kujiona bora
Hueleweki...au hukunielewa kwaheriWhat are you trying to justify yaani?
Maana mama zetu wenyewe ndio hawataki kusikia kabisa hivyo vitu. Pia Kulelewa na mama peke yake haimlazimishi mtu na yeye afanye kumuoa single mom. Mtu kama hataki sasa nongwa nini, mbona wanawake wametoka kwenye familia masikini na duni lakini hawataki kuolewa na wanaume masikini. Usitumie hisia zako kumpangia mwanaume maisha yake, wanaume wanakataliwa na kusemwa na wanawake kwa mambo mengi sana ya kijinga tena yasiyo na tija mbona hakuna aliyemforce au kumchukia mwanamke kwahivyo vitu. Waache watu waishi wapendavyo, wewe sio Mungu au mwenye hekima zaidi.
Wala usibadilishe si umeshanioa mm ,,ila kumbuka yule ni mwanamke Kama mm mhimu kumbuka dam yakk bhckumbe upo na huku,,,, nisamehe kwa niaba ya wana jf wote
. na nnabadilisha ID kutoka sasa.
Sista umeelewaHueleweki...au hukunielewa kwaheri

, don't justify your ideas of how should men live kwakutumia wazazi wetu. Kila mtu aishi apendavyo, wewe sio mwenye hekima zaidi ya wote. Kwaheri Mrs Lissu.Hongereni sanahuwa hawasiliani nae tangu mimba ikiwa na miez mitano jamaa alisepaga , kweny mawasiliano sijawahi kumwona anawasiliana nae,,pia kwa sabab mtoto hatukai nae atakuwa anampigia bibi ake kumuulizia habar za mtoto.
Asantee nakuoenda sanahasa huyu wangu ana akili kupita mabilion ya wanawake
Hapo kwenye kulogwa hachomokiAfu siku hizi wanaloga na kuloga sasa hiii hii hatari babaa
Hawa watu si wa kuwaamini maana baada ya kuachwa huwa hawaamini tena wanaume hivyo akikupata lazima akutengeneze mapenzi ya bongo movie


