Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,144
- 7,932
Na aombe asipate mtoto wa kikeNi huzuni sana kuusoma huu mwandiko.mkuu kama umeoa mwanamke ambae sio singo mama shukuru.kama bado basi muombe Mungu sana
Na aombe asipate mtoto wa kikeNi huzuni sana kuusoma huu mwandiko.mkuu kama umeoa mwanamke ambae sio singo mama shukuru.kama bado basi muombe Mungu sana
Ndoa yenu na iwe heri....
Nimewaza kukaacha katoto kangu miaka 2 masikini, kisa mbo0o0 aaah mamaeeeehhh ishia kule kafie mbali haipo hii
Kuna uzi uko humu walolelewa na mama tu wametitirika balaa hadi huruma mama zao walivyopigana hadi wamefika hapa..ajabu humu wanachamba na kujiona boraKuna watu wana comment humu ila ukichunguza wamelelewa na wanaume ambao sio baba zao na leo wanaanua midomo siwez kuoa sijui kusaidia mtoto wa mtu, ndugu zangu tuweke akiba ya maneno hatujui mama zetu wamejitoa kwa kias gani na wamedhalillika namna gan mpaka leo tumekuwa watu wazima,
AminUishi Maisha marefu
Kizuri unaoa kwa utashi wako haina shida ila kibaya ni kwamba umejichanganya shabani Kaoneka 😂Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Unadhani kuishi ndani na shahawa ya Mwanaume mwenzako ni jambo rahisi??Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Kuna uzi uko humu walolelewa na mama tu wametitirika balaa hadi huruma mama zao walivyopigana hadi wamefika hapa..ajabu humu wanachamba na kujiona bora
Kwa muandiko huu hakuna Mwanaume hapo,hadi saiv ananitambua kuwa mi ndo baba ake,naongea nae na ashatambulishwa kuwa mi ndo baba ake,ila aliambiwa akae na bibi ake tu
Huyo mwamba akijua tu kuwa bidada kaolewa, chances za yeye kurudisha majeshi ni kubwa sana. Kama akili za huyi mkeo ni ndogo, lazima mwamba atamla, ndoa yako itaingia doa au kufa kabisa. Omba Mungu awe mke mwema.huwa hawasiliani nae tangu mimba ikiwa na miez mitano jamaa alisepaga , kweny mawasiliano sijawahi kumwona anawasiliana nae,,pia kwa sabab mtoto hatukai nae atakuwa anampigia bibi ake kumuulizia habar za mtoto.
yeah right, kafika makucha ,mpole na msikivu sana.
We walijua hiloUnadhani kuishi ndani na shahawa ya Mwanaume mwenzako ni jambo rahisi??
Kama baba mtoto alisha fariki atazaa nae na kama baba mtoto yupo hawezi kuzaa naye ila ataletewa mimba akijua mimba yake.Huyo dada si atazaa nae