Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.

Endelea tafuta kaburi ya huyo single father, kabla ujaliona, we jiandae tu..
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua..

Ua lililofanyiwa uchavushaji na mdudu mwingine?
 
Na mnaosemaga hivi ndio mnakujaga kuwaoa na kuwapenda sana
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
Kuna mto wa kuvuka na wew yaani unaona mto kina kirefu mafuriko yanapita mamba wengi na huna kivuko unataka uvuke msimdanganye dogo mimi ningemshauri na kumuusia kwamba shamba lenye mgogoro halina ulazima wa kulinunia kana una cash mkononi
 
Sema watu mna ujasiri sana walah... Ninyi ndo mnapaswa muwe mstari wa mbele hata kwenye vita. Hii ni zaidi ya kujilipua
 
Alafu 29 unakubali kuanza mechi na goli mkononi huu ni uoga na uzembe jiulize kwann mwamba alimkimbia na je akirudi atakuta milango imefungwa. Imagine ww ni ex wa mtu na ukijiskia unabutua je mtu alie zaa nae atamnyima nyama umekubali ujinga deal na ujinga wako utatrombewaaaaaa mpka ujute
 
Sababu zilizokushawishi kuoa ni za kawaida sana "mpole,msikivu,mzuri n.k "hizi hubadilika mda wowote na huwa zinaweza kuwa fake
Anyway haya mambo upofu sana mi mwenyewe hapa nimetoka kutoa zawadi kwa mtu nae jua kabisa anani enjoy but its okay maana mi nafurahia kumpenda kinda stupid but ndio hivyo sasa
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Cha msingi zaidi asijue kipato chako halisi.
 
Hatujaongelea kuchepuka, tumeongelea usumbufu.
Mara baba wa mtoto anataka amuone mtoto.
Mara baba yake fulani kaja mtembelea mtoto...

Watz hamjui jinsi ya ku move on na maisha
Asa ata move on vip ilihali mtoto ana haki ya baba ake mzazi
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Kila kitu ni makubaliano usingilie mapenzi ya watu wamekubaliana tayari....
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
hamuachanagi ..lazima akubali kupigiwa .
 
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Ili wawe ndugu inabidi watumie majina ya mama, mf. Deepond Dejane, Kibenten Dejane (Dejane awe mama), lakini Nakadori Mpwayungu (Mpwayungu baba), To yeye Chief (Chief baba) hapa hamna undugu zaidi ya mazoea tu, socially wanakuwa na bond lakini genetically hawana undugu kabisaaa Dejane
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Kwani singo Mama sikuhizi wamepata wapi jeuri ya kuchagua watakaoishi nao.Be Humble single mama couple utaziskia tu kwenye redio mnashindwa kujitunza.
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
ID kibenten+avatar =umeolewa wewe😎
 
hongera
 
Back
Top Bottom