Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
kupeana mizigo tu bora mzgo wangu so wa mtu mwingine
 
Atakufa vibaya huyu aloooh! Kosa kubwa sana kumtenga huyo mtoto wa single mother, baby dady akirudi tu wanaunganisha familia
Zitakuwepo safari za Mama kwenda kumjulia hali mwanaye,usiombe baba ya mtoto awepo.
 
Yaani watu wengine wamezaliwa na mikosi kwa 29yrs unaoa single maza eti ananipenda sanaa hiyo ni laana chunguza ukoo wenu nani ana kuloga
mi mwenyewe mganga sasa nakushangaa nani anayeweza kuniroga
 
Wenzako huwa wanaulizakaburi la baba wa mtoto. Sasa wewe umenogewa na viuno vya ashura nongwa umeingia mzima mzima. Subiri upigwe na kitu kizito ndio utajua yule kijana alikua nawnda kuokoa watu ndani ya ndege au alikua anaenda kupiga dili.
 
Chukua hyo mtoto kaa nae tengeneza mazingira mazuri na nduguo wajao usifanye mtoto akikua aone wewe ndo sababu ya yeye kutolelewa na mama ake pia mtoto hyo ni mdogo 2yrs anawez kukuacknowledge wewe kama baba ake haya ni maisha unaeza mtenga na akawa tegemeo lako hapo baadae kwa nduguzo
 
Hata kama mtoto sio wako angalia maisha anayoishi huko.Je ni yakumtelekeza? Ukipenda UA penda na boga lake..Kuna siku huyo mtoto atamwitaji mama au walezi wa mtoto hawapo . Je utakuwa tayari kuishi nae? Au ndio mtamwangamiza kama tunavoona visa kadhaa...NI NGUMU KUTENGANISHA BIND YA MAMA NA MTOTO ...angalia Hilo pia utafakari...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida ni mawasiliano kuendelea na huyo baba wa mtoto,tumekaa nahudumia familia halafu inapigwa simu na mwanaume kuulizia hali ya mtoto ,ndiyo maana nasema kama sijaliona kaburi la baba yake na mtoto siwezi kuoa single mother.
huwa hawasiliani nae tangu mimba ikiwa na miez mitano jamaa alisepaga , kweny mawasiliano sijawahi kumwona anawasiliana nae,,pia kwa sabab mtoto hatukai nae atakuwa anampigia bibi ake kumuulizia habar za mtoto.
 
Back
Top Bottom