Nimeoa single mama

Nimeoa single mama

Kuna mwanamke mmoja nilimpa mimba then tukaachana time nampa mimba alikuwa kamaliza form six so mwaka wa kwanza chuo alisoma akiwa na mimba

Nilihudumia mimba mpaka mtoto akafikisha mwaka mmoja then akapata bwana mwingine alichokifanya aliniambia Yule mtoto sio wangu na mtoto Nina fanana nae kila kitu akakataa matumizi yangu nikala block pote

Now huyo demu ni lecture mkwawa na mme wake ni engineer TANROAD ndoa yao ina miaka 5 sasa

Mwanangu Sijawai kumuona tena na mm life limenipiga hata mtaani mpaka kutapeliwa na jamaa wa ikulu aliniambia nimpe hela anipeleke MSATA nikawe mwanajeshi
Duh!!! "tenda wema nenda zako mkuu". nafikiri usemi huu una-apply ktk maisha yako...

But kuna stori scenario moja nimewahi kuishuhudia kijijini kwetu wakati ndiyo nakua. Kwa jirani yetu kulikuwaga na kijana mmoja hivi wa rika letu. Huyu kijana alikuwa hafanani hata chembe na Baba yake bali alikuwa anafanana na mzee mwingine kutoka kijiji cha pili yaani kopi hasa wazungu waneseama.

Miaka nenda rudi ikasogea tukawa tumepotezana kutokana na pirika pirika za maisha. Kumbe yule mzee wa jirani alioa mwanamke ambae tayari alikuwa na ujauzito ukiwa mdogo sana bila kujua na hatimae mke wake akaja akajifungua ndiyo yule dogo namzungumzia. Baadae yule mzee alifariki na mtoto alipokuja kukua Mama yake ilibidi amwambie ukweli kuwa baba yake mzazi ni yule wa kijiji cha pili. Hivyo yule kijana ilibidi aende kuishi kwa baba yake mzazi na wala hakusita kwa sababu alifanana sana mzee huyo pamoja na watoto wake.

Hivyo, huwezi jua hata kwako inaweza ikatokea badae mtoto akakutafuta mwenyewe, c unajua mahusiano haya yana siri kibao ambazo wakati mwingine mahusiano yakivurugika, kwa wenzetu wasiokuwa na vifua inaeza pelekea mtoto/ watoto kujua siri hizo na kuchukua maamuzi mengine....
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake

Watoto watakaozaliwa sio ndugu zake.
Hata wakipimwa DNA hawawahusiani.

Hoja ya muhimu ni suala la upendo. Na mahusiano Bora lakini kulazimisha watoto wasio ndugu kuitwa ndugu ni Uongo.
 
Ushauri: upendo husitiri wingi wa dhambi, huvumilia, hauhesabu mabaya n.k.
Kama umempenda usikumbuke mabaya na mapungufu yake ya nyuma. Utaishi Kwa furaha
K
 
Chukua hii...mtoto hana alijualo...mpende na mke wako na mtoto wake...

NB:akiwasiliana na baba mtoto hata siku moja na ukajua piga chini...usimuhurumie

Lazima wawasiliane Mkuu.
Hao wameunganishwa na mtoto.
Sasa atampigaje chini wanapowasiliana na Mzazi mwenza kujua maendeleo ya mtoto wao.
Kumbuka yeye sio mzazi WA huyo mtoto.

Yeye atulie tuu Kama kaamua kuvulia maji nguo itampasa ayaoge tuu.

Maana kuwasiliana ni Jambo la hakika. Iwe Leo au kesho au miaka kumi ijayo lazima watawasiliana tuu.

Asije kumuongezea Dada wa wato mzigo wa watoto kama hajaamua Kwa dhati
 
Watoto watakaozaliwa sio ndugu zake.
Hata wakipimwa DNA hawawahusiani.

Hoja ya muhimu ni suala la upendo. Na mahusiano Bora lakini kulazimisha watoto wasio ndugu kuitwa ndugu ni Uongo.
Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Umemkosea sana huyo malaika wa Mungu kumtenganisha na mama yake. Mchukue mtoto alelewe na mama yake ingawa sio damu yako mlee na umpende huwezi jua baadae atakufaa vipi.

Mimi binafsi usipompenda mwanangu huwezi kusema unanipenda mimi. Na huyo mkeo akili hana kabisa yaani anamuacha kiumbe wa miaka 2 ili aolewe very stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Hongera na mlinde utu wake na hadhi yake. Usije kumsababisha kua mama wa wili bila baba...
 
Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?

Hawawezi kuwa Ndugu.
Na kamwe huyo mtoto hawezi kurithi lolote Kwa huyo Baba labda wafanye upendeleo tuu.

Tumbo moja haikufanyi uwe ndugu na mtu. Kumbuka tumbo la mwanamke ni sehemu ya muda ya kumhifadhia mtoto na sio chanzo cha mtoto.

Inaweza chukuliwa mbegu ya mtu yeyote ikawekwa ndani ya tumbo lako na mtoto akakua tuu.

Ndio maana kuna DNA
 
Ungefanya vyema sana endapo ungemchukua mtoto wake na kumpenda kwa dhati. Hapo umempenda dada nusu na nusu yake ipo kwa mama yake.ile nusu kwa mama yake inaweza kupendwa na baba mzazi mwishowe inaleta connection kwa mkeo. Ni bora ufanye maamuzi kumpenda na mwanae hutojutia.
amna,ngoja tu anizalie atampenda mwanangu
 
Hawawezi kuwa Ndugu.
Na kamwe huyo mtoto hawezi kurithi lolote Kwa huyo Baba labda wafanye upendeleo tuu.

Tumbo moja haikufanyi uwe ndugu na mtu. Kumbuka tumbo la mwanamke ni sehemu ya muda ya kumhifadhia mtoto na sio chanzo cha mtoto.

Inaweza chukuliwa mbegu ya mtu yeyote ikawekwa ndani ya tumbo lako na mtoto akakua tuu.

Ndio maana kuna DNA
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
 
Mkuu ni kwamba tuu bakiza akiba tuu kuw huko mbele utakuja kuishi na huyo mtoto usijpe 100% mazingra yanawez kuja kuamua

Nakutania kila la heri
yaa ni kweli ila na mi ntakuwa nishamzalisha wototo ata wawili
 
Chukua hii...mtoto hana alijualo...mpende na mke wako na mtoto wake...

NB:akiwasiliana na baba mtoto hata siku moja na ukajua piga chini...usimuhurumie
na nishamwambia siku akiwasiliana na ba mtoto wake ndo siku yake ya kiama
 
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu

Sio ndugu Kwa maana ya damu moja.
Ukishasema neno Baba unamaanisha chanzo.
Ukishaelewa hilo automatically kama hawatoki chanzo kimoja hawawezi kuwa Ndugu.

Tumbo ni sehemu ya kuhifadhia mtoto temporary na sio chanzo cha mtoto.
Mbegu ya kiume ndio chanzo cha mtoto
 
Habarini wakuu,

Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.

Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.

Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi yako sahihi ya kumuoa binti umpendae, lakini nakushauri huyo mtoto usimuache akakaa mbali na mamake kwa sababu miaka 2 ni mdogo sana bado anahitaji malezi ya mama,pia ukaribu wa huyo mtoto utazidisha penzi lenu kupita kiasi, na usisite kumpa huduma zote za malezi bila kujali elewa huyo ni binaadamu kadiri anavyokua atajenga mahusiano mazuri nawe kama mzazi wake halisi na hatimae anaweza hata kukuhudumia utakapokuwa mzee. Nimesha yashuhudia hayo.
 
Back
Top Bottom