.Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Mbona haya maneno ni kama sheria
![]()
NdioMmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?
Akiwa jambazi jebaadae atakufaa vipi.
Chanzo cha uhai wa mtoto ni begu ya mwanaumeTumbo moja haikufanyi uwe ndugu na mtu. Kumbuka tumbo la mwanamke ni sehemu ya muda ya kumhifadhia mtoto na sio chanzo cha mtoto.
Bola wewe msema ukweli, si wengine wanachukua watoto wanaanza kuteseka baadae.siwez penda mtoto so damu yangu labda ntampenda kinafiki tu na mi so mnafiki
Mimi Nikioa single mama,Hapa mzee umechemka
Kumbuka nusu ya vinasaba vya mtoto hutoka kwa mama.
Kifupi Mume hutoa XY na Mke hutoa XX
Ili aundwe mtoto inatakiwa single DNA filament itoke kwa baba na nyinge itoke kwa mama ili mtoto akamilike.
Hivyo watoto wanaozaliwa tumbo Moja na mbegu toka kwa Wanaume tofauti basi jua hawa huwa Wana relate kwa 1/2 na Ile nusu hawahusiani kabisa.
Ndio maana Wazungu wanasema half brother au half sister wakijua only their connection is 1/2.
Wanakuwa ndugu ila sio complete na tatizo jingine mayai yenyewe Yana vary kwenye genetics zao.
Bila kujali phenotype za hao offsprings zilivyo
Kumbe kuoa single mother ni kama mamba na kuoa ni mto ?Na mnaosemaga hivi ndio mnakujaga kuwaoa na kuwapenda sana
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
Noma sana!Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Kwani akiwa jambazi ndio hawezi mfaa baba yake aliyemlea?? .Kwani majambazi wangapi wamelelewa na baba na mama zao waliowazaa??Akiwa jambazi je
We oa baba, kula vitu...furahia dunia...singo mama aka singo parent ni watu sawa na mabikira.Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
hongera hata sisi wengi tumeoa single mather sema wakwetu hawakunyonyesha watoto wawili walikufa kwa kujitakiaHabarini wakuu,