Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,223
- 3,745
Na hili nalo mkalitizame.
Tatizo lenu wenye watoto wakija mnapasha kiporo cha wali maharagweNiache![]()
Ana roho nzuri wapi wanaume wana roho nzuri wana upendo achana na hawaNguvu ya kuacha mtoto wa miaka miwili sijui wanatoa wapi hawa wanawake wa mwendokasi. Mimi mume wangu wa kupuliza alinikuta na watoto wanne kila mmoja na baba yake na alinipenda na wanangu na kutuchukua wote, sasa tuna watoto jumla tisa na mimba ya mapacha ni jeshi kubwa tunafurahia Maisha kwakweli nyumba yetu haipoi haiboi
Chukua hii...mtoto hana alijualo...mpende na mke wako na mtoto wake...Chukua hyo mtoto kaa nae tengeneza mazingira mazuri na nduguo wajao usifanye mtoto akikua aone wewe ndo sababu ya yeye kutolelewa na mama ake pia mtoto hyo ni mdogo 2yrs anawez kukuacknowledge wewe kama baba ake haya ni maisha unaeza mtenga na akawa tegemeo lako hapo baadae kwa nduguzo
Wakija wapi wengine washakufa bana akiamua kutoka na mwanaume mwingine sio lzima baba mtotoTatizo lenu wenye watoto wakija mnapasha kiporo cha wali maharagwe
Ndo mnatupanga hivyo ati.Wakija wapi wengine washakufa bana
Na tunapendwa sana tuSingle mama utawajua tu, wanajulikana mno![]()
Akiamua mwanamke kuchepuka anachepuka tuNdo mnatupanga hivyo ati.
Pole kwa msiba
hadi saiv ananitambua kuwa mi ndo baba ake,naongea nae na ashatambulishwa kuwa mi ndo baba ake,ila aliambiwa akae na bibi ake tu
Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.
Hatujaongelea kuchepuka, tumeongelea usumbufu.Akiamua mwanamke kuchepuka anachepuka tu
Barikiwa aisee,....na boga lake bhanaaaSiwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Mchukue mtoto ukae nae tu maisha ni fumbo.huwa hawasiliani nae tangu mimba ikiwa na miez mitano jamaa alisepaga , kweny mawasiliano sijawahi kumwona anawasiliana nae,,pia kwa sabab mtoto hatukai nae atakuwa anampigia bibi ake kumuulizia habar za mtoto.