Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,749
- 89,998
Ni sawa ila mpunguze sheria kali mnaboa!
Hayo yenu mapepo. Tutaenda kuyaombea.
Ni sawa ila mpunguze sheria kali mnaboa!
Sio mapepo, walokole wa kiume kila kitu mnaona ni dhambi!Hayo yenu mapepo. Tutaenda kuyaombea.
Hahahaha!Hapana! Nimelipenda jina!
Sawa, ila wengi wanafki tu !wewe uko na matatizo! sii Bure
KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA. mithali 1:7
Wanaume dhaifu wanazidi kuongezeka, mnapenda wanawake mteremko mwisho wake ndio huu, Mwanamke uliyemtongoza mwenyewe na kumuona mwenyewe bila shinikizo anawezaje hata kujaribu kunifanyia mambo anavyotaka? Anakuona wewe ni poyoyoWakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Kanisa gani hilo mbona mlifika mbali sanaKanisani kulikua na mfungo wa kukaa siku tatu bila kula kitu chochote, siku zote 3 mnashinda na kulala kanisani.
Nilikua darasa la 5 mama akanichukua tukaenda, mkiingia wote mlango unafungwa unafunguliwa jioni kwenda nje kujisaidia tu halafu mnarudi ndani.
Imefika jioni njaa inaniuma sana nikaanza kulia! Mama ananiambia nijikaze tumalize mfungo wote.
Walivyoniona nazidi kulia wakaniita mbele wakaanza kuniombea eti nina mapepo.
Njaa inauma nazidi kulia na wao wanazidi kuniombea mapepo yatoke, walivyoona mapepo hayatoki nikafunguliwa mlango mama akanipa hela niende kwa ndugu yangu yeye anabaki kwenye maombi.
Nilivyofika huko nilikula na kilio kiliisha.
Eeeh wanyakyusa wanavyojua kunyenyekea😁,Na hii ndiyo inanifanya niwaze kila mara nikistaafu niokoke niwe na kakanisa kangu huko kijiji hasa kwa wanayakyusa niishi mbingu nikiwa duniani mimi
La kilokole! Jina lake siwezi kutaja nitafungua codeKanisa gani hilo mbona mlifika mbali sana
😄💘😍😎Atakuja Hapa Hapa Kulalamika Halafu Members Wa JF Watamuona Kama Lizard 🦎🦎Subiri kulea mtoto wa mchungaji..
Ni shida juu ya shida !Wanaume dhaifu wanazidi kuongezeka, mnapenda wanawake mteremko mwisho wake ndio huu, Mwanamke uliyemtongoza mwenyewe na kumuona mwenyewe bila shinikizo anawezaje hata kujaribu kunifanyia mambo anavyotaka? Anakuona wewe ni poyoyo
Wanajua sana kunyenyekea ila uishi nao kwa akili ukipindua akili kidogo wanakuzingua vile vile .Eeeh wanyakyusa wanavyojua kunyenyekea😁,
Embu nenda kwenye kanisa la baba mdogo ukafanye uchunguzi.Dahh! Sio kote lakini..
Beshte maziri ndo nini 😄Wengine wanatakagaga kuonekana wana maisha maziri kuzidi wengine tu hakuna lolote!
umeyaamini aliyoyasema mleta mada?Sawa, ila wengi wanafki tu !
sasa uyo anakaa church mpaka jioni na ameolewa alaf akienda nyumbani hampikii mume wake (yeye kashiba), ndo chanzo cha maarifa ?
Nitaenda!Embu nenda kwenye kanisa la baba mdogo ukafanye uchunguzi.
Ulevi huu, ni mazuri🤣Beshte maziri ndo nini 😄