Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Colossians 3:18
[18]
Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
AMINA. usimwamini mleta mada. mtu yeyote aliyeokoka huwa ana MAARIFA, hawezi kuwa na tabia kama alivyosema mleta mada.

mtu anayemcha Mungu huwa na maarifa ya ki-Mungu. Mtu aliyemwamini YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake huwa ana Roho Mtakatifu ndani ya moyo wake. Roho Mtakatifu humpa mtu huyo tabia njema.
 
Mimi ni mkristo ila walokole naonaga wananipigia makeleletuu ipo siku atakwambia kuna maombi saa 9 usiku kwaajili ya kuwaangusha wachawi wanaorudi kuwanga shauri yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom