ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,790
- 72,466
Eeeh yaani kipenzi changu unaonekana huwajui walokole!Kulikuwa na ulazima gani wa kutunywesha chai
Nikishusha visa vyao hapa utachoka!
Nikiwa form 1 nilikua natapika nesi wa shule akaniambia nina dalili zote za ulcers.
Nikampigia simu mama kwamba nesi kasema nina dalili za ulcers.
Mama yangu akaniambia "Ushindwe kwa jina la Yesu wa Nazaleth! Nakemea hivyo vidonda"
Siku zikapita mbona nililazwa, nikakonda kwa ulcers.