Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Yaani ananenepa tu,mafuta wanamnunulia yaani, alikuwa Hana gari Kuna muumini mmama alikuwa na gari akampa akapata nalo accident,yule mama akachukuwa gari lake na kulitengeneza hakumpa tena mchungaji,,aisee waumini walikasirika,wakachanga na kumnunulia gari jipya
Makanisa yana vituko sana! Machache sana yana misingi ya kweli
 
Upo sahihi kabisa mlokole humwambii kitu kuhusu Baba mchungaji
Nick wa pili nadhani atakua mfano mzuri wakuigwa, wachungaji nao ni wanadamu hakuna mwema, wake za watu wengi wanazaa na wachungaji wao na waume wanalea hao watoto wakiamini ni wao.

Narudia tena kuwa mchungaji au mueneza injili haimaanishi ni mtakatifu na mnyoofu kuzidi wengine.

AKILI KUMKICHWA 💉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom