Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni

*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka

Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Ishi Naye Huyo Ni Chaguo Lako Kufa/Kuzikana, Uzima/Ugonjwa
Siha Tujuane Mapema Sana Ngare, Ngare Nairobi, Namwai, Fuka Lawate, Sanya Juu
Hakuna Kulalamika Unavumilia Tu
 
Kuna mtu yy ni polisi na mkewe ni jeshi. Ss kila mwisho wa mwezi ke hana hela zoote anapelka kanisani maisha yamekuwa magumu mume analalamika lkn mwanamke yey na kanisa kanisa na yeye.
Humo ndani hakuna maelewano, mapenzi hamna ndoa imesambaratika.
 
Kanisani kulikua na mfungo wa kukaa siku tatu bila kula kitu chochote, siku zote 3 mnashinda na kulala kanisani.

Nilikua darasa la 5 mama akanichukua tukaenda, mkiingia wote mlango unafungwa unafunguliwa jioni kwenda nje kujisaidia tu halafu mnarudi ndani.

Imefika jioni njaa inaniuma sana nikaanza kulia! Mama ananiambia nijikaze tumalize mfungo wote.
Walivyoniona nazidi kulia wakaniita mbele wakaanza kuniombea eti nina mapepo.

Njaa inauma nazidi kulia na wao wanazidi kuniombea mapepo yatoke, walivyoona mapepo hayatoki nikafunguliwa mlango mama akanipa hela niende kwa ndugu yangu yeye anabaki kwenye maombi.

Nilivyofika huko nilikula na kilio kiliisha.
Nimecheka leo kila comments yako aisee
 
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni

*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka

Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Imagine ni mlokole halafu single mama.. 🤔🤔
Cc Robert Heriel Mtibeli
 
Baba yangu mdogo ni mchungaji,aisee ana enjoy maisha,

Halimi,msimu wa mavuno analetewa mahindi nk, gari kanunuliwa,nyumba kajengewa, Wana siku ya kwenda kufanya usafi Kwa ba mdogo.
Na hii ndiyo inanifanya niwaze kila mara nikistaafu niokoke niwe na kakanisa kangu huko kijiji hasa kwa wanayakyusa niishi mbingu nikiwa duniani mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom