Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

BA AURA

Member
Joined
Jun 10, 2026
Posts
14
Reaction score
59
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni

*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka

Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
 
Pole sana
 
wewe uko na matatizo! sii Bure

KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA. mithali 1:7
 
Oa tena wanawake warembo wapo wengi sana, njoo huku katesh Dongobesh ujipatie kimwali au nenda mpanda ujipatie mwali wa kifipa ule mema ya nchi na kama huna maokoto teremka hapo ikwiriri ujipatie mwali wa kindengereko akupe mauno feni ufurahie nchi ya samia hii
 
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka
Umeoa mke mlokole au umemuolea mke mchungaji? Elezea vizuri hapo unaweza ukawa umeoa mke kwa niaba ya mchungaji mchungaji ndie anaemtomba wewe anaishi na wewe km kaka yake tu tena kaka wa kambo ila mumewe halisi ni mchungaji anaaichapa kila anapoitaka shtuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom