Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Akikukula kilokole utakata kiu....?!
Kiu ikatike wapi?😎😎😎
Sasa kajamaa kanafanya huku kanamkemea shetani,hakuna cha dirty talks,kakipiga tackle mbili waleteee,kanakuambia mama amka tumshukuru Mungu wakati huo wewe ndo kwanza gari inaanza kuwaka😀😀😀😀😀
(Just a joke,jamani sijawahi date mlokole ni imagination tu)
 
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni

*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka

Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Cc:Father G
 
Weka hayo mambo

sijayaamini, ulitakiwa umshauri alaf umpe na mstari kama ulivyooandika. Wewe kwa kunukuu mstari peke yake umemaanisha moja kwa moja wife wa uyo jamaa kushinda kanisani, kutofanya majukumu ya nyumbani kwake ndio chanzo cha mararifa !
ok sikueleweka vema. Nilitaka nieleweke hivi: mtu yeyote anayemcha Mungu huwa na maarifa. Mtu yeyote aliyeokoka hawezi kuwa na tabia alizozieleza mleta mada. (za mkewe huyo wa mchongo)
 
Mimi walokole nawajua in and out!
Nakumbuka mama mchungaji alikua anamwambia mama yangu aende kwake akampikie dagaa wa Kigoma kisa mama yangu anajua kuwapika vizuri.
Mama yangu nae anaenda😂
HIvi huwa inakuaje mpk mtu unaacha biashara zako binafsi? Mimi mke wangu baada ya Misa, au ibaada imeisha hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom