Nipo zangu mgahawani napata chakula cha mchana,pale mezani nakutana na dada mtu mzima kiasi
Wote tunakula ugali na dagaa,mboga ya majani na ndondo,yes maharage
Sorry to say this in case wewe ni mlokole, hawa watu huwa lazima tu wajitambulishe kuwa ni walokole kwa namna yoyote ile, hupenda...
Madaraka makubwa zaidi ya juu Tanzania katika vyeo viwili vya juu kabisa vya nchi yamekuwa yakikaliwa na yakipokezanwa kati ya Uislamu na Ukatoliki tu, ni wakati sasa wa kuvunja utaratibu huo makamu wa Rais atoke angalau kutoka kwa Wasabato, Walokole au Anglicana.
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani.
Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.
Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.
Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
(i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE
Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa..
Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari…
Wale wa maombi , full package? 😅
Asubuhi anakuamsha kwa maombi,
mchana mnapambanaji na maisha,
Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...
Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT.
Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi...
Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu!
Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
VODABIMA: Habari yako Mama Esta , hapa ni Vodacom, tunakukaribisha kujiunga na bima yetu. Ukifa leo watoto wako watasomeshwa, ukipata ajali ukapata ulemavu utatunzwa hadi kufa kwako. Ukiugua magonjwa mazito utatibiwa.
Mama Esta mlokole: Mshindwe na mlegee kwa jina la Yesu. Sintokufa bali...
Zamani sana Jijini Milan nchini Italia miaka 16 iliopita kulikuwa na jina la Playmaker mmoja mstaarabu mno, muungwana kutoka Mji wa vipaji wa Sao Paulo ni kama vile Morogoro kwa Tanzania, Ricardo Izecson dos Santos Leite maarufu kama 'Kakà'
Nani asiyemkumbuka fundi huyu ambaye anatua uwanja wa...
Wana jf nawapeni hii thread ni very critical
Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia hatua our fellow students wakatuonea wivu kutokana na lifestyle yetu
Tulipoizoea shule yeye ndiye...
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala...
Haya wale tuliompenda Kipindi cha nyuma na Kumpa yale Magunia yetu ya Mchele, Viazi na Sukari pale Temeke tafadhali tuanze Kuviandaa tena kwani anarejea rasmi Nyumbani.
Yaani huku kuna Mpaka Ukome, kule kuna Maksi za Darasani, hapa jirani ( kati ) kuna Ufunguo unaofungua Kokote na kule mbali...
Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala...
Binti yuko hapa mkoa x na yuko kwenye magroup ya WhatsApp ya walokole ila anajiuza. Tofauti tu ni kwamba inabidi utumie gharama kubwa kujificha, ili kanisani aendelee kuaminika.
Huko kanisani kwanini msiwafundishe kuwa wawazi tu ili kuachana na unafiki wa kujifanya mcha Mungu hadi mitandaoni...
Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.
Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.