Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
- #21
ume wa -compare na vyombo gani vingine vya habari? if you didnt do any comparison then nakubaliana na weweKwa hiyo unachosema ni kwamba kwa vile Clouds FM wana-webcast matangazo yao, hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya wawe gumzo la JF mara kwa mara? Kama hicho ndicho unachosema basi mimi siuoni uhusiano/mwunganisho wowote ule baina ya hivyo vitu viwili labda unafafanulie zaidi.
Ila ni vyema watu wakatambua kuwa katika tasnia ya vyombo vya habari (media industry) Clouds Media Group kwa kweli wanatisha. Niseme tu kwamba, kwa sasa hawana mpinzani na ushahidi upo dhahiri kabisa.