Nimemzimia Diva wa clouds FM

Nakubaliana na wewe 100%.

Pamoja na mazuri yote ya Clouds kwa jamii haimaanishi watangazaji wa Clouds wote ni wazuri 100%. Usifanye majumuisho ya jumla vinginevyo mizani yako haitatenda haki.

Ninapoona watu wanasema eti Kibonde sijui anatumia ARVs, mara Kibonde sijui nini, mara Diva kafanya hivi na mashuzi mengine kama hayo huwa nakereka sana. Mimi hapa nipo kuleta uwiano tu. Sisemi kwamba hawana mabaya. Kwani ni nani huyo mwenye mazuri tu? Lakini kuwafanya Clouds kama ni watu wabaya sana kama virusi hilo nalikataa na nitawatetea bure mpaka siku nitakayovuta pumzi yangu ya mwisho.

Ingawa umesema target group yao ni hadi miaka 34 basi kuna mgongano pale wanapojiita "redio ya watu" ikimaanisha watu kwa ujumla wao.

Channel 5 wao wanajitambulisha kama Tv na.1 ya vijana, kwa hiyo wazee pale sio mahali pao.

Ila napenda kwamba umejitambulisha upande upi wewe unasimamia.

Hakuna mgongano kwenye kauli mbiu yao. Kwani hiyo age group siyo watu? Na hilo la watu wote kwa ujumla wao ni tafsiri yako tu ambayo una haki kuwa nayo. But I caution you not to be so literal on everything.
 
Ninapoona watu wanasema eti Kibonde sijui anatumia ARVs, mara Kibonde sijui nini, mara Diva kafanya hivi na mashuzi mengine kama hayo huwa nakereka sana. Mimi hapa nipo kuleta uwiano tu. Sisemi kwamba hawana mabaya. Kwani ni nani huyo mwenye mazuri tu? Lakini kuwafanya Clouds kama ni watu wabaya sana kama virusi hilo nalikataa na nitawatetea bure mpaka siku nitakayovuta pumzi yangu ya mwisho.

Hakuna mgongano kwenye kauli mbiu yao. Kwani hiyo age group siyo watu? Na hilo la watu wote kwa ujumla wao ni tafsiri yako tu ambayo una haki kuwa nayo. But I caution you not to be so literal on everything.

Binafsi nayapenda makundi yote mawili (wenye kupinga na wasiopinga).

Hayo ya tafsiri tumwachie Joe.... Time for lunch man!
 
Ninapoona watu wanasema eti Kibonde sijui anatumia ARVs, mara Kibonde sijui nini, mara Diva kafanya hivi na mashuzi mengine kama hayo huwa nakereka sana. Mimi hapa nipo kuleta uwiano tu. Sisemi kwamba hawana mabaya. Kwani ni nani huyo mwenye mazuri tu? Lakini kuwafanya Clouds kama ni watu wabaya sana kama virusi hilo nalikataa na nitawatetea bure mpaka siku nitakayovuta pumzi yangu ya mwisho.Hakuna mgongano kwenye kauli mbiu yao. Kwani hiyo age group siyo watu? Na hilo la watu wote kwa ujumla wao ni tafsiri yako tu ambayo una haki kuwa nayo. But I caution you not to be so literal on everything.
Kama kawaida yako ukisikia clouds fm unataka kulia wanapochambuliwa watangazaji haswa kibonde na wengine Sasa kama unahuhusiano na clouds na unaumia roho basi chukua comments humu washauri wabadilike la sivyo itaendelea kama kawaMie nasikilizaga pia online na kuburudika na music na clouds radio ya online ni juu haswa na inatuburudisha hata tukisafiri kwenda njeBali watangazaji wanaopondwa na wengi lazima wabadilike and that is a FACT
 
Wabadilike kitu gani wakati kanuni ya mafanikio tayari wanayo kibindoni? Na waendelee tu kuwarusha roho nyie waosha vinywa wenye kisebusebu. Hakuna cha kubadilika. Wakaze buti na tena naombea waendelee kuwa-aggravate watu.
 
wadau utawajua tu hahhahahhaah pole weee
 
Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!!
ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana

omba Mungu uendelee kumpenda hivyo hivyo kupitia sauti watangazaji wengi sauti zao na walivyo vitu 5 tofauti Mungu akupe alie wako kutoka kwwa Bwana
 
at last nimeona pics zake.. the gal is hot.. black beuty mule muleee...dah
 
http://1.bp.blogspot.com/_LkC7vEEpymA/SrCrdYSlOHI/AAAAAAAAAQs/rl9043lEeBE/s1600/dna.jpg[/IMG]]‪Diva breaking down , how B12 Is important to her‬‏ - YouTube
 
dna.jpg
 
Back
Top Bottom